antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,171
- 133,630
Capacity yke?
Bei?
Picha ya mashine?
Picha ya ice cream??
Bei?
Picha ya mashine?
Picha ya ice cream??
Halafu hata hajishtukiiDuh! Kuna haja ya wajasiriamali kujifunza elimu ya masoko kwa kweli mana sio kwa matangazo haya!
hio ni mid speaker ya fidek au power mixer huyu tapeliKanitumia Picha hiyo PM. View attachment 811483
Ni automatic mkuuHata mimi nilipoona hiyo Picha sijaelewa hiyo mashine ikoje.
Huwenda ikawa Auto.Ni automatic mkuu
Airport hapo ndani au?Anza sasa Biashara hii uvune pesa...
Tunauza mashine za kutengezea ICE CREAM(Koni).
Gharama ni 2400000/=
Mafunzo ya kutengeneza ice cream pia utapata bure.
Ofisi ipo Airport Dar
Pm ukiwa tayari.
Bombadier hiyo hahaahhaAirport hapo ndani au?