Kanitumia Picha hiyo PM.Jamanii, mbona tangazo lako halishawishi??hebu tuwekee tangazo bwanaa na picha ikiwezekana.
Mmh,.wala sijaielewaKanitumia Picha hiyo PM. View attachment 811483
Mbona mashine yenyewe chafu hv... Na hizo ice cream ndo zinafyatuliwa hapo Kwenye hvyo vitundu??Kanitumia Picha hiyo PM. View attachment 811483
Itakuwa unaingiza mkono unatoa mwenyewe.sasa hapo ice cream inatokea wapi
Inachekesha kweli. Kwakweli matangazo nayo yana wenyeweJamanii![]()
Aiseeee kuna haja ya kukaa darasani miaka mi3 kwakweli kwa ajili ya "marketing" tuuInachekesha kweli. Kwakweli matangazo nayo yana wenyewe
Hata la nguvu kiume linawekewa picha.Sio mfanyabiashara huyu huwezi kumvutia mtu kwa maandishi tu labda ingekuwa tangazo la kuongeza nguvu za kiume?
Duh! Kuna haja ya wajasiriamali kujifunza elimu ya masoko kwa kweli mana sio kwa matangazo haya!0625492963 whatsapp
Kwa anayehitaji picha za mashine pamoja na maelekezo yake.
Tatizo letu ndilo hilo unatangaza biashara kama msiba hata picha ya marehemu huweki.




