Haijawahi kuwa registered kabisa mkuu, sio bara wala visiwani. Na documents zote zipo za kutoka Japan.Hii gari haijawahi kuwa registered Tz kabisa!? Au plate number imechomolewa kunogesha picha..

Kabisa mkuu, pole kwa hali yako ya sasa iliyotukumba wengi piaHiyo gari inaendana na hali ya sasa ya wese, sema kwa sasa nimesimama juu ya mawe ningeichukua upesi.

Kwani mbunge wa Bk vijijini siku hizi kakukimbia?Msinishambulie naenda kukopa VICOBA
HahahaKwani mbunge wa Bk vijijini siku hizi kakukimbia?
Za masiku?Kwani mbunge wa Bk vijijini siku hizi kakukimbia?
DohZa masiku?
Bado nafanya nae ila kwa sasa kanihamishia Kyetema.
Ikifika 4.5m mkuu unaweza kunicheki tukaongea.Bado ipo
Huko haitafika chief...Thanks anywayIkifika 4.5m mkuu unaweza kunicheki tukaongea.
