Labda unauza tenga la nyanya.
Yaani kuna watu vichwa ngumu,tena nahisi huwa wanakuja kujaribu watu,huko PM sijui kuna maelezo ya kiarabu,mpaka inakera aisee.Na mie namshangaa ndugu yetu mla kaumbwa kwanini haelezei aina ya hiyo mashine , imetengenezwa wapi, je ni mpya au used na kwanini hataji bei?
Pm si ndo mnatongozana vizuri...[emoji23] [emoji23] Bei niYaani kuna watu vichwa ngumu,tena nahisi huwa wanakuja kujaribu watu,huko PM sijui kuna maelezo ya kiarabu,mpaka inakera aisee.
Nimesha taja mzee afu sema wakati naleta kauzi hapa nilikuwa nimesha kunywa kasupu kaleee...[emoji23] [emoji23] Sasa mpaka akili ikae sawa kwanza [emoji1787][emoji1787]Na mie namshangaa ndugu yetu mla kaumbwa kwanini haelezei aina ya hiyo mashine , imetengenezwa wapi, je ni mpya au used na kwanini hataji bei?