Tunauza hoteli yetu iliyopo mjini

Tunauza hoteli yetu iliyopo mjini

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
HABARI ZENU
hellow i would like to inform you that we are selling our starlight hotel
Starlight Hotel is located in the heart of the city and directly opposite our national pride Mnazi Moja Park; this is adjacent to Bibititi Mohamed and Uhuru Streets. On one side is seen the Uhuru Torch Monument erected to symbolise the Freedom Torch placed at the peak of Mt. Kilimanjaro upon Tanzania's attainment of independence. On the other side of the park is the Republic Fountain, which commemorated the foundation of the republic in 1962. its for sale because its
Legacy , we are salling the whole plot where by 2 huge hole of wedding plus 2 huge apartment except one small house for sale ,the agent is my grand father sharif ally abdallah and our condition we dont want middle man if your interested contact me please 0654167472 miss sara
its in dar es salaam
 
sijui kwa nini watoto wengi wakiachiwa mali na wazaz wao ufikiria kuuza na kutumia ela badala ya kuendeleza. museven alikuwa analalamika vijana wengi uganda wanauza mashamba ya ulisi na kununua bodaboda.jueni kwamba mkiuza mali mlizoachiwa mkagawana hizo ela mtakula zitaisha fasta. muwe mnafikiria kuungana na kuboresha na kutanua biashara. wazaz wenu waliangaika sana kupata hio mali. nyie mnauza. ni ushauri tu msikasirike
 
Ungetumia lugha ya kiswahili ingetunufaisha wengi, si kila mtu anajua kiingereza.
 
Kwa nini mnauza.........?

are you damn serious! Yaani who are you to question their family decision! you dont have to comment if you have nothing to say! Wameamua kuuza hotel yao kwa maamuzi ya family yao! Mtu unaanza kuponda eti wanataka kufuja Mibongo bwana!!!
 
Yah......ni vizuri kujua kwa nini anauza......so kama ni zengwe ununue tu kisa familia imeamua......? Je kama hiyo sehemu inapita barabara au nyumba ina madai inataka kupigwa mnada wewe ununue tu.......?
 
hellow napenda kuwajulisha kuwa sisi tunauz hoteli wetu starlight hoteli
Hoteli ya Starlight iko katika moyo wa mji na moja kwa moja kinyume taifa letu kiburi Mnazi Moja Park, hii ni karibu na Bibititi Mohamed na Mitaani Uhuru. Upande mmoja ni kuonekana Mwenge Monument kujengwa mfano wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa katika kilele cha Mlima. Kilimanjaro juu ya kufikia Tanzania ya uhuru. Upande wa pili wa Hifadhi ya ni Fountain Jamhuri, ambayo iliadhimisha msingi wa jamhuri mwaka 1962. tunauza kwasababu ni
Urithi, na pia tunauza pale pale holi mbili kubwa za harusi na nyimba ya gorofa mbilil sharti yetuhatutaki mtu wa kati na wakili ni babu yangu sharif ally abdallah kama kuwasiliana tafadhali 0654167472 Miss sara
dar es salaam zake katika
 
Hiki Kiswahili ni cha Tanzania au cha Google.......?
 
vipi .... yale majiko ya zamani ya ugermani unayonunua kwa 40 million unatafuta
 
are you damn serious! Yaani who are you to question their family decision! you dont have to comment if you have nothing to say! Wameamua kuuza hotel yao kwa maamuzi ya family yao! Mtu unaanza kuponda eti wanataka kufuja Mibongo bwana!!!

Kama wasingetaka maswali kutoka kwa potential wateja basi wasingetangaza hadharani.
Sidhani kama kuna ubaya wowote mtu kutoa ushauri. Na ukiangalia kwa makini utabaini kuwa ushauri unatokana na kutojua sababu za kuuza, ndio maana kuna umuhimu wa kumjibu vema aliyeuliza kwa mnauza badala ya kumbeza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yah......ni vizuri kujua kwa nini anauza......so kama ni zengwe ununue tu kisa familia imeamua......? Je kama hiyo sehemu inapita barabara au nyumba ina madai inataka kupigwa mnada wewe ununue tu.......?

Kuna watu wengine huwa hawajiulizi hayo dokta, ye mwenyewe hapo juu anajiona kaongea pointiiii
 
Yah......ni vizuri kujua kwa nini anauza......so kama ni zengwe ununue tu kisa familia imeamua......? Je kama hiyo sehemu inapita barabara au nyumba ina madai inataka kupigwa mnada wewe ununutu.......?

Preta uko sahihi! Lakini sio kuanza kutoa wosia oooh Mnafuja mali mlizoachiwa na wazazi wenu! Obviously kwa atakaye taka kununua lazima taarifa kama hizo utapata na mikataba wa kuuziana utasainiwa so sio rahisi kuingia kichwa kichwa kwa kitu yenye mamilioni ya mihela kama hiyo
 
hellow napenda kuwajulisha kuwa sisi tunauz hoteli wetu starlight hoteli
Hoteli ya Starlight iko katika moyo wa mji na moja kwa moja kinyume taifa letu kiburi Mnazi Moja Park, hii ni karibu na Bibititi Mohamed na Mitaani Uhuru. Upande mmoja ni kuonekana Mwenge Monument kujengwa mfano wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa katika kilele cha Mlima. Kilimanjaro juu ya kufikia Tanzania ya uhuru. Upande wa pili wa Hifadhi ya ni Fountain Jamhuri, ambayo iliadhimisha msingi wa jamhuri mwaka 1962. tunauza kwasababu ni
Urithi, na pia tunauza pale pale holi mbili kubwa za harusi na nyimba ya gorofa mbilil sharti yetuhatutaki mtu wa kati na wakili ni babu yangu sharif ally abdallah kama kuwasiliana tafadhali 0654167472 Miss sara
dar es salaam zake katika

huyu atakua mwarabu wa maskati,english wala kiswahili husomeki.
 
Ungetumia lugha ya kiswahili ingetunufaisha wengi, si kila mtu anajua kiingereza.

Bado anaamini wanaojua kiingereza ndio wana hela,
kuna wasukuma huo wa migodi na viwanda vya mminofu ya samaki wana hela ila hata sign wanatumia dole gumba hawajui hata "A " inaandikwaje!
 
Kama wasingetaka maswali kutoka kwa potential wateja basi wasingetangaza hadharani.
Sidhani kama kuna ubaya wowote mtu kutoa ushauri. Na ukiangalia kwa makini utabaini kuwa ushauri unatokana na kutojua sababu za kuuza, ndio maana kuna umuhimu wa kumjibu vema aliyeuliza kwa mnauza badala ya kumbeza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

You just dont start lecturing people! Who are you?
 
hebu andika hata kiarabu bhana maana kiswahili mmhhh kiinglish nacho ndio kule kule, haya tumekuelea ila kwa mie kwa leo count me out hizo dolari milioni nane ntazipata wapi mie? nipeni hati nikachukulie mkpo nije niwalipe nibaki na jengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom