Tunauza hoteli yetu iliyopo mjini

Tunauza hoteli yetu iliyopo mjini

Hahaha mnanichekesha. Hamna mnunuaji hapa dada. Ngoja nije pm tunegotiate lol
 
How many guest room?
Does it need renovation?
How many workers?
 
yah bado nazinunua , unayo

Habari zenu
hapa mimi natafuta anaye uza madini kama tanzanite,
ruby,dhahabu,almasi na vingenevyo
lakini eshu langu ni (JIKO ) na vifa wa ugermani
e.g sahani, kisu, bakora, siniya, glasi
sasa alama ya jiko hii ni
jiko hilo lina alama ya simba wa wawili na mtende,au alama ya mzungu anaitwa kaisar ,juu ya kichwa chake kuna ndege ,halafu je ina alama" J".na . je hiyo jiko linanasa kiwembe .pia chukue hilo jiko uweke mbele ya kio kisha test je linaonekana kny kioo au alionekani?
kama halionekani basi ndo hilo!!!!
hii jiko moja bei yake kwanzia millioni10 hadi 50tsh
kuwasiliana na mie kuhusu madini na vifaa ya ugermani wa zamani contact me 0654167472 au kwa email yangu
swty-shosho@hotmail.com

teh teh teh
 
Nimesoma Post zote hapa, HAKUNA MTEJA HATA MMOJA BADO!
 
Yah......ni vizuri kujua kwa nini anauza......so kama ni zengwe ununue tu kisa familia imeamua......? Je kama hiyo sehemu inapita barabara au nyumba ina madai inataka kupigwa mnada wewe ununue tu.......?

na unaamini watakwambia tunauza kwa sababu barabara inapita keshokutwa au nyumba ina madai itapigwa mnada???!!
 
Star light Hotel yeah pale mmezungukwa na hotel za kisasa nyuma yenu kuna jambo Hotel watalii kibao kila siku kulia kwenu kuna jengo la sofia House na Hotel ya kisasa ila yenu ni yakizamani ingawa ipo barabarani kabisa pigeni rangi mtangaze bei
 
Hiki Kiswahili ni cha Tanzania au cha Google.......?
Preta,hawa jamaa sio kabisa. Sisemi kama mbaguzi bali wengi wao wanajiita Watanzania halafu hata lugha ya Watanzania hawaijui. Kwa nini hawaijui? Ni kwa sababu wanajitenga na hawajishirikishi na wananchi wengine kwa ubaguzi wao. Wao wapo tuu kwa ajili ya kutumia fursa iliyowazi ya kujichumia utajiri kutoka kwa maskini wa nchi hii.
Kwa vile wao wakifanyacho ni kuchangia chama tawala basi hakuna wa kuwafatilia kama unafuata sheria nyingine za nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani hakuna mwenye. hela lugha zote mbili ingawa amezikosea lakini ujumbe umefika, sasa cha msingi muombe punguzo tu za hizo dollar milioni nane dah!
 
Bado anaamini wanaojua kiingereza ndio wana hela,
kuna wasukuma huo wa migodi na viwanda vya mminofu ya samaki wana hela ila hata sign wanatumia dole gumba hawajui hata "A " inaandikwaje!

Ni kweli mkuu m1 ni J4 kimbashi kajifunza kusoma na kuandika ukubwani lakini ana hela mbaya ana biashara kubwa kibao including sekoimala.
 
Kuweni makini na fbi,cia wa kimarekani ambao wapo tz...Team Edward Snowden
 
aiseeeee babayangu mnauza laki ngapi,,niuze shamba huko mkuu rombo nije kuinunua
ambatanisha na picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom