Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,466
Nikitizama watoto, akina mama, wanaume wakiwa wamejeruhiwa vibaya sana na wengine wakiwa wamekufa inauma sana.
Askofu Josephat Lebulu akiwa na huzuni sana nilishindwa hata kuongea naye , inasikitisha sana.
Mpakanaandika habari hii sijapata chanzo cha mlipuko huu ambao umesababishwa na mtu mwenye chuki, hasira na ukatoliki na watu wanaomtafuta Mungu.
Hakukuwa na sabababu yeyote ya kurusha bomu katikakati ya waumini wa kanisa katoliki ambao walikuwa wakisali na kumuomba Mungu wao.
Inauma sana kuwa na Raisi ambaye hajali watu wake. Haiwezekani jambo kubwa la kigaidi ambalo halijawahi kutokea ndani ya Tanzania Raisi anaendelea na ziara kuwait. Raisi ni kama baba wa familia haiwezekani leo baba anasikia nyumbani kwake majambazi wamevamia na kuuwa mtoto halafu baba akaendelea na mkutano, hii ni Tanzania pekee kuwa na Raisi asiye na uchungu na watu wake.
Chanzo cha chuki kubwa hii bado ni fumbo.
Ila makanisa imefikia wakati wawe na ulinzi wao kwani hali inavyoonekana sio shwari na serikali imeachana na ulinzi wa raia na mali zao.