Tunatoa Training za TALLY, MYOB na Quick Book

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,667
Reaction score
29,949
Kutokana na mahitaji ya soko la AJIRA KWA SASA Kwa upande wa watu waliosoma Account au Business wamekuwa wakiambiwa wawe wamesoma Tally. Hiki kimekuwa ni Kigezo kikubwa cha watu kukosa Kazi wakati Flan. Baada ya kuangalia hitaji hili sasa tumekuja na ufumbuzi Kwa bei nafuu zaidi ili Usikose kazi.

kwa hiyo katika Certificate yako, Diploma yako au Degree yako hakikisha una added value ya Tally. na katika kukusaidia hili tunatoa mafunzo ya Tally kwa Ngazi ya Tally Beginners na pia Advanced.

karibuni sana kwa wale wanaotaka kusoma somo Hili.
1. TALLY for Beginners
2. Tally Advanced

Kwa mawasiliano zaidi piga 0684160222
 
malizia

wapi mpo
ninya akina nani? n.k
sio mpka mtu apige simu
 
Kama navijua mnaweza kutoa mtihani alafu mkatoa cheti??
 
Sisi ni Mobile tuna toa training kwa wafanyakazi wa Kampuni flan au wanachuo kwa kuwafuata hapo chuoni.

malizia

wapi mpo
ninya akina nani? n.k
sio mpka mtu apige simu
 
Back
Top Bottom