TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Kuna Mbweha wanapitapita kwenye ardhi ya Tanzania, wanaharisha maneno maneno ya kipuuzi juu ya kitu "kinachoitwa Goli la mkono' nasema wazi, kitu kama hiki hakipo na mbweha hawa wafunge mabakuli yao.
Kuna mbweha wengine wanapitapita kurubuni watu waonyeshe bar code number za kitambukisho cha kupiga kura ujinga huu ukemewe mapema na kusitishwa.
Tunatoa Tamko, CCM msithubutu kugongesha njiti za kiberiti nchi ITALIPUKA. watumishi Wa serikali including polisi, Jeshi, Usalama na wengine hawazidi 357,800 tu. Lakini Nchi ina zaidi ya vijana milioni ishirini na saba waliochoka vibaya, liwalo na liwe type. Hawa watu wanaweza Fanya chochote na nchi ikapasuka vipande vingi vya kutosha.
Kumbukeni unazi Wa makaburu kule Afrika ya Kusini, watu walivyo Andaman a,huko Naledi-Soweto, jeshi likaamuru watawanyike watu wakagoma, jeshi kikaanza kuwamiminia risasi, hakuna aliye kimbia, watu wanapigwa risasi wanakufa wengine wanasogea mbele wananyukwa risasi na kufa hakuna anaye kimbia. Watu wakichoka WAMECHOKA. Watu wanasema 'we better die than living this life' sina hakika kama hesabu za CCM na watawala wake wameshajiridhisha kufanya umwagaji Wa damu Wa halaiki manake matendo yao haya wafanyayo Leo wanaashiria kuelekea hukohuko.
Mko huko maofisini, mnapiga Escrow, mnapiga safari, mnakula bata, mmelewa madaraka hamjui hali halisi huku mitaani. Watu wamechoka asikwambie mtu. Kuna bomu chondechonde WATAWALA msithubutu kugongesha njiti karibu nalo.
FANYENI kampeni za wazi, kila mgombea ajinadi kwa nafasi, sisemi lazima chama flani kishinde, nasema kampeni Huru, matokeo ya uchaguzI hasa ya awali kutangwazwa kwa Uhuru na uwazi, watanzania wote wakishuhudia mtiririko Wa mambo, kutasaidia sana kuepuka Tension ya nchi.
Lakini watawala wakilogwa kufichaficha matokeo, kufanya vitisho vitisho kwa kigezo cha matumizi ya Cyber Crime, nchi hii ITAPASUKA BEYOND RECOVERY.!!