What you call post ya uchochezi.. Angalizo unaliita chochezi?!
tukianza kusikiliza wapuuzi kama wewe mwisho wake tutakuwa wapuuzi sote.
ni nani kati yetu anayeweza kuwa na duka na akigundua kuwa muuza duka aliyemuweka dukani kafanya udanganyifu akaamua kuchoma duka? je wewe ukimsikia huyo aliyechoma duka lake kisa muuza duka kafanya udanganyifu utamuona wa maana au mpuuzi?
sasa ukisema nchi itapasuka beyond recovery unadhani utapata faida gani kwa kuivuruga nchi yako mwenyewe?
lakini je una ushahidi gani kama udanganyifu umefanyika au la au kwako kutotimiza lile unalolitaka wewe ndio itakuwa udanganyifu?
ni kweli taifa kuna watanzania wengi sana wamechoka lakini watanzania hawa wanahitaji njia sahihi ya kutatua matatizo yao na kutatua matatizo yao si kwa kusikiliza watu kama wewe unayedhani hili unalolisema litatatua matatizo.
watanzania hawa kujitambua na kutambua wajibu wa viongozi ambako kujitambua huko kutawafanya waache kushabikia makundi ya siasa bali washabikie maendeleo.
unaweza kuwa na mlevi na ukashawishiwa na teja kuwa uliyenaye ni mlevi kumbe na yeye ni teja ambaye ni mbaya kuliko mlevi wa pombe.
cha msingi katika maisha usiwe na chama wala mtu. wakati wa kampeni ni kusikiliza wagombea wanakuja na mipango gani na mikakati ya kutekeleza na ikiwezekana watupangie serikali nzima kabla hatujawachagua. na pale tu tutakapotumia nguvu yetu ya kura bila ushabiki bali kila mmoja wetu anaangalia kiongozi bora, anaangalia mipango ambayo mgombea anataka kuleta ina manufaa gani kwake na kwa taifa.
kama wewe ulishawahi kutongoza au kutongozwa utajua kuwa watu wanayojisema si yote ni ya ukweli hivyo tunahitaji maarifa ya kuchambua katika wagombea ni nani anaweza kutufanyia yale tunayoyataka. achana na ushabiki ambao unaweza kukufanya wewe kuwa ngazi ya mtu na sio kutumia kura yako kujiletea maendeleo.
TAMKO

Kama hawataki kupisha vyama vya upinzani. Walianzisha mfumo wa vyama vingi ili iweje??
Jifunze kusoma, kutulia kidogo na kufanya tafakari kisha ndio uchangie....ni dhahiri haujamuelewa mtoa mada!
kuna mbweha wanapitapita kwenye ardhi ya tanzania, wanaharisha maneno maneno ya kipuuzi juu ya kitu "kinachoitwa goli la mkono' nasema wazi, kitu kama hiki hakipo na mbweha hawa wafunge mabakuli yao.
Kuna mbweha wengine wanapitapita kurubuni watu waonyeshe bar code number za kitambukisho cha kupiga kura ujinga huu ukemewe mapema na kusitishwa.
Tunatoa tamko, ccm msithubutu kugongesha njiti za kiberiti nchi italipuka. Watumishi wa serikali including polisi, jeshi, usalama na wengine hawazidi 357,800 tu. Lakini nchi ina zaidi ya vijana milioni ishirini na saba waliochoka vibaya, liwalo na liwe type. Hawa watu wanaweza fanya chochote na nchi ikapasuka vipande vingi vya kutosha.
Kumbukeni unazi wa makaburu kule afrika ya kusini, watu walivyo andaman a,huko naledi-soweto, jeshi likaamuru watawanyike watu wakagoma, jeshi kikaanza kuwamiminia risasi, hakuna aliye kimbia, watu wanapigwa risasi wanakufa wengine wanasogea mbele wananyukwa risasi na kufa hakuna anaye kimbia. Watu wakichoka wamechoka. Watu wanasema 'we better die than living this life' sina hakika kama hesabu za ccm na watawala wake wameshajiridhisha kufanya umwagaji wa damu wa halaiki manake matendo yao haya wafanyayo leo wanaashiria kuelekea hukohuko.
Mko huko maofisini, mnapiga escrow, mnapiga safari, mnakula bata, mmelewa madaraka hamjui hali halisi huku mitaani. Watu wamechoka asikwambie mtu. Kuna bomu chondechonde watawala msithubutu kugongesha njiti karibu nalo.
Fanyeni kampeni za wazi, kila mgombea ajinadi kwa nafasi, sisemi lazima chama flani kishinde, nasema kampeni huru, matokeo ya uchaguzi hasa ya awali kutangwazwa kwa uhuru na uwazi, watanzania wote wakishuhudia mtiririko wa mambo, kutasaidia sana kuepuka tension ya nchi.
Lakini watawala wakilogwa kufichaficha matokeo, kufanya vitisho vitisho kwa kigezo cha matumizi ya cyber crime, nchi hii itapasuka beyond recovery.!!