Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

Tupe ufafanuzi kuhusu hiyo ya kukaa miezi 6 ndio kadi iweze kutumika.

Ina maanisha nikijiunga Leo na mkanipa kadi siwezi kupata huduma zipi kwa hicho kipindi cha miezi 6?

AAR ukijiunga leo wakati unasubiri kadi wanakupa temporary barua kwa ajili ya kutibiwa iweje nyinyi mpaka usubiri miezi 6? Sio wizi huo?
 
Mimi natumia hii na familia yangu na wala sijapata shida kasoro tuu kuna baadhi ya huduma hutapata ikiwa haijamaliza mwaka mmoja mfano kujifungua.
 
Kwa aga khan hospital hii card haitumiki ila kuna nyingine inaitwa afya wote premier unaweza kupata huduma mpaka hospital za gharama kama aga khan. Gharama zake ni tofaut na hizo hapo ukihitaji nitafute tu mkuu.
Asante jmn hii kitu nzuri mno tuchangamkie flusa ndugu
 
Wakuu naomba nieleweshwe kwa anayejua bei ya Bima ya afya kwa mtoto mmoja.
 
Back
Top Bottom