Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

Tunatoa huduma za Bima ya afya kwa wote

Mnasumbua sana kupata huduma hiyo, mimi nimemkatia mama yangu toka mwezi wa 12 lakini hadi leo haitumii natoa pesa zangu tu, mhudumu wenu wa hapo mhimbili hospital anadai hadi imalize miezi 6.
 
Kama ni huduma ya upasuaji ni hadi utimize huo muda. Vigezo na mashart mkuu
 
Mkuu, hii unachagua hospital mojawapo kati ya hizo ulizoorodhesha au ukiwa mwanachama unaweza kuitibiwa kwenye hizo hospital zote ambazo umeziorodhesha kiongozi...?

Ufafanuzi please.

Thanks.
 
hamna upasuaji wowote tumbo sehemu ya nyonga ilikuwa inauma, hata gharama za kumuona dkt nililipa hawataki hata kumpokea kujua nini anaumwa..

Je, Uliwasiliana nao ofisini kuwaeleza hilo suala walikupa jibu gani ndugu...?
 
Mkuu, hii unachagua hospital mojawapo kati ya hizo ulizoorodhesha au ukiwa mwanachama unaweza kuitibiwa kwenye hizo hospital zote ambazo umeziorodhesha kiongozi...?

Ufafanuzi please.

Thanks.
Ni hospital yeyote kati ya hizo mkuu
 
Mnasumbua sana kupata huduma hiyo, mimi nimemkatia mama yangu toka mwezi wa 12 lakini hadi leo haitumii natoa pesa zangu tu, mhudumu wenu wa hapo mhimbili hospital anadai hadi imalize miezi 6.
Anaitwa nani huyo muhudumu?
 
Mimi ni mmiliki wa kituo cha tiba binafsi huku kusini,nawezaje kuwa sehemu ya stakeholder wenu kwa huku niliko?
Pia naweza kuwafanyia promo ili kuongeza wanachama.
Mkuu nadhan unatakiwa kuandaa profile ya hospital yako na upeleke makao makuu.
Ntauulizia zaid ntakupa mrejesho j3.
 
Je, Uliwasiliana nao ofisini kuwaeleza hilo suala walikupa jibu gani ndugu...?
Ilibidi kutoa pesa zangu kulipa hadi leo huwa nalipia, Dada wa hapo muhimbili anasema hayo ndo maelekezo aliyopewa hawezi kufukuzwa kazi, nikasema hamna shida ndo maana hata wewe nimeona majibu yako tu kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa kabla hata ya kuuliza ilikuwaje! imagine ningekuja ofisini kwenu nikakutana na wewe si yangekuwa yale yale, bora kultulia ili kuokoa na gharama nyingine za kuja ofisini kwenu ambapo nitajibiwa yale yale.!
 
Wanaonekana wababaishaji hawa
Wajipange tu mbona 174,000/ ni pesa nyingi kama wakipata wanachama milioni 5 tu tanzania inatosha sana, wajikite hawa wanachama wanaojiunga wanapatiwa huduma stahiki mbona habari zitaenea sana, sema wanavyofanya hivi sijui lakini..!
 
Ilibidi kutoa pesa zangu kulipa hadi leo huwa nalipia, Dada wa hapo muhimbili anasema hayo ndo maelekezo aliyopewa hawezi kufukuzwa kazi, nikasema hamna shida ndo maana hata wewe nimeona majibu yako tu kuwa vigezo na masharti kuzingatiwa kabla hata ya kuuliza ilikuwaje! imagine ningekuja ofisini kwenu nikakutana na wewe si yangekuwa yale yale, bora kultulia ili kuokoa na gharama nyingine za kuja ofisini kwenu ambapo nitajibiwa yale yale.!

Pole Sana aseee.

Siku nyingine ukiwa unajibu comment jaribu kuangalia yule unayemjibu ndio huyo aliyekuuliza...?

Kama ndio huyo aliyekuuliza jaribu kuangalia tena jibu unalomjibu ni yeye ndio anayestahili kujibiwa hivyo...?

BTW.

Mimi sina hospitali wala sitoi huduma ya bima kiongozi.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom