Tunatoa huduma ya Printing

Ndugu yangu kama hutojari naomba unieleweshe nilikuwa nataka kujua hivi vitambulisho vya pvc naweza kutengeneza kwa printa hizi za epson+pvc card...? (samahani kwa usumbufu kaka)

Inategemea na aina ya Epson uliyo nayo, zipo zinazoweza kuprint kwenye pvc moja kwa moja kama sijakosea. (Hapa namaanisha Epson printers hizi za kawaida ukiacha zile special za ID cards tu)

Soma functions za printer yako uone kama ina uwezo huo au angalia kama ina sehemu muhimu ya kuweka hicho kikadi cha pvc
 
Kumbe zipo epison kwaajiri ya id card tuu....hasante ndugu
 
Habari ya Jumatatu wana JF.
Nawashukuru wale tunaowasiliana kwa ajili ya kupata huduma zetu.

Nazidi kuwakaribisha wana JF kwa ajili ya kuja kupata huduma nzuri za printing.
 
Nakushauri ujiunge hapa www.ajiras.com ni sehemu ya kutangaza na kuuza hudumu kama yako. Icheki uone kazi ambazo zimewekwa so far.

Ukikwama ni cheki

Asante kwa ushauri wako mzuri. Nitaufanyia kazi,. Hiyo itakuwa ni sehemu ya kuongeza wigo wa kuwajulisha wateja huduma zetu pia.
 
Karibuni sana wateja wetu mjipatie huduma bora
 
Karibuni wateja wetu mpate huduma bora.
 
HERI YA MWAKA MPYA 2019 wateja wetu.

Ninapenda kuwashukuru nyote mlioweza kufika ofisini kwetu na kupata huduma nzuri, na wale mlioulizia huduma zetu kwa kuwasiliana nasi kwa njia ya simu na wale wote ambao mmesoma uzi huu na kushauri pia.

Tunawakaribisha mwaka huu 2019 katika ofisi yetu , tuko tayari kuwahudumia.

Kwa mahitaji yako ya printing karibu sana
-Vipeperushi
-Business cards
-Vitambulisho
-mabango
-Posters
-Stickers(labels) za bidhaa
-Tshirts

na huduma nyingine nyingi.

Karibu, kila mteja tunamjali, kazi ni ya kiwango kizuri.
 
Mimi npo mkoa inakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi npo mkoa inakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku hizi hakuna umbali ndugu.
Kazi tunakufanyia na kukutumia bila shida kabisa.

Kuna wateja wa stickers(labels) ambao wanazalisha bidhaa zao huko mikoani na tunawahudumia vizuri tu. Ndiyo kuna gharama ya usafiri lakini si kubwa kulinganisha na faida ya kazi nzuri unayoipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…