Tunatoa huduma ya clearing and forwarding

Tunatoa huduma ya clearing and forwarding

zaza1

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
60
Reaction score
50
Tunatoa huduma zote zinazo husiana na logistics kama ifuatavyo :

> Sea and Airfreight clearance
> Export clearance - Sea & Air
> Warehousing
> Transportation

- Bei zetu ni rafiki
- Tunafanya huduma kupitia kampuni iliyo sajiliwa kisheria .
- Tunavibali vyote kutoa huduma hii.
- Tupo Dar Es Salaam
- Office zetu zipo Tazara

Karibuni sana
 
Ninawezaje kujua kama gharama nilizopewa na Clearing agent za Port Charges, Warfage na Shipping line ni sahihi au zimekuzwa? Mfano mtu ameagiza Suzuri Carry, gharama tajwa hapo juu zitakuwaje?.(Nadhani huwa katika Usd)

Mwenye uelewa naomba anieleweshe tafadhali.

Ahsante
 
Back
Top Bottom