Kumbe ni bora wanaposimamisha wagombea kwa vyama kama mbadala ili hata ujanja ukifanywa mwisho wa siku atabaki mmoja wa UKAWAAliyekuwa mgombea udiwani kupitia chadema(ukawa) kata kashai bukoba mjini bw.nuru kabaju ameenguliwa katika kinyang'anyiro baada ya kufanya kosa la kisheria katika kujaza fomu........
Mwaka huu tutafahamiana tu.....
Ccm mbele kwa mbele.... View attachment 280531
Kwanini uongozi usiwajazie?
Hizi ni harakati za bao la mkono!, la kuvunda ni la kuvunda tuu, halina ubani, siku ya siku, miti yote itateleza!...wanakatwa kwa vijikasoro vidogo vidogo.
..it is very unfair wanachofanya hawa ccm.
..prof.maghembe amefanya makosa ktk mhuri wa chama alioutumia ktk fomu zake. Cdm walifanya makosa kama hayo wakati wa uchaguzi serikali za mitaa na wagombea wao woote walienguliwa. This time tume imekataa kumuengua prof.maghembe.
Pasco, NasDaz
Tatizo lao kubwa wapo upinzani...hivi kuna tatizo gani kwa wagombea ambao fomu zao zina kasoro ndogo-ndogo kupewa nafasi ya kurekebisha kasoro hizo?
..mimi nadhani mgombea anayepaswa kukatwa ni yule aliyefanya FORGERY, lakini haya makosa madogo-madogo nadhani they should be given an opportunity to make corrections.
Tatizo kubwa hawa ukawa hawapendi shule...
Sugu
Mnyika
Mbowe
Sumaye
Msigwa
Wote hawajui kusoma na kuandika
Below the minimum range of Thinking capacity, can u think a little bit more?
..hivi kuna tatizo gani kwa wagombea ambao fomu zao zina kasoro ndogo-ndogo kupewa nafasi ya kurekebisha kasoro hizo?
..mimi nadhani mgombea anayepaswa kukatwa ni yule aliyefanya FORGERY, lakini haya makosa madogo-madogo nadhani they should be given an opportunity to make corrections.
Ukweli ni kwamba jamaa alipewa pesa ili ajitoe. Hayo ni geresha tu. Mimi ni mwanakashai
Kanuni zinazofuatwa katika ukataji zinatumika kwa wagombea wote bana acheni kuupotosha umma kwamba ni kwa wagombea wa UKAWA tu. Mfano mzuri ni yule mgombea wa CCM wa Kasulu Nsanzugwanko D.N aliyekwata kwa kukosea tu kuandika tarehe yake ya kuzaliwa. Kwa hyo msijishaue kwa kukulalamika kisa ni mgombea wa UAKWA ndio amekwata mbona alipokatwa wa CCM mlichekelea.