Tunatengua hadi wagombea madiwani

Tunatengua hadi wagombea madiwani

Du karne hii bado watu wanaandika barua kwa mkono. Jamani kuchapisha imekuwa tatizo!
 
Kanuni zinazofuatwa katika ukataji zinatumika kwa wagombea wote bana acheni kuupotosha umma kwamba ni kwa wagombea wa UKAWA tu. Mfano mzuri ni yule mgombea wa CCM wa Kasulu Nsanzugwanko D.N aliyekwata kwa kukosea tu kuandika tarehe yake ya kuzaliwa. Kwa hyo msijishaue kwa kukulalamika kisa ni mgombea wa UAKWA ndio amekwata mbona alipokatwa wa CCM mlichekelea.

Kosa la nzanzugwako lilikuwa kubwa mno yaani hata ukitaka ku favour inakuwa ngumu. Sheria hairuhusu mtu mwenye umri wa siku sita kugombea ubunge, hata kupiga kura haruhusiwi. Ila mkuu sina taarifa kamili kama kakatwa.
 
Back
Top Bottom