Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 265
- 262
Nipo dar boss..Unapatikana wapi
Tunatengeneza kwa oda boss.. bei inategemea na ukubwa unaotaka boss.. km icho ni futi 7 kwa 8 ni Milion 2 na nusu boss..full kila kitu boss wanguMnavikodisha au mnauza?Kama mnauza ni kiasi gani?
Sawa boss wanguOngeza picha
Nimekipenda sana hiki.....kinafaa,.kizuriVp boss
Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz..
0692477610
Sawa boss wangu
Vya kuishi hamtengenezi?Tunatengeneza kwa oda boss.. bei inategemea na ukubwa unaotaka boss.. km icho ni futi 7 kwa 8 ni Milion 2 na nusu boss..full kila kitu boss wangu
Tiny house Tunatengeneza boss wanguVya kuishi hamtengenezi?
Karibu sana boss wanguNimekipenda sana hiki.....kinafaa,.kizuri
Any samples?Tiny house Tunatengeneza boss wangu
Any samples?
Pia pergola ( vibanda vya gadeni) tunatengenezaAny samples?
Shukrani boss 🙏🙏