Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 265
- 261
Shukrani boss wanguNice
Kama hicho bei ganiVp boss
Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz..
0692477610
Milion 2 na nusu boss.. full kila kitu ad wirering za soketi na taa na shelves za ndanKama hicho bei gani
Oops OohsHivyo ndio vya kisasa?
Mbona mtaani vimejaa?
Hata mitaani kuna usasa pia..Hivyo ndio vya kisasa?
Mbona mtaani vimejaa?
Good answer🫱🏾🫲🏽Hata mitaani kuna usasa pia..
Na vitu vya kisasa kujaa mitaani haviondoi usasa wake boss wangu..
Sawa boss 🙏🙏Good answer🫱🏾🫲🏽