Tunatengeneza tofali imara za kuchoma

Tunatengeneza tofali imara za kuchoma

SD Bricks

Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
7
Reaction score
3
Tofali imara za kuchoma.Tupo Babati mkoa wa Manyara.Bei Tsh.750/= kwa tofali moja.
.Mawasiliano 0623 819177
2018-10-20_00.12.57.jpeg
IMG_20180930_225257_386.jpeg
20180915_160246.jpeg
 
Ziko vizuri, weka contact zako hapa!
 
Morogoro huwa tunanunua tofali moja tsh mia
 
Mimi pia najua hivyo,yapo hadi ya Tsh70,ila sio haya.
 
Kwa Dar es salaam zinapatikana wapi..?
 
Kwa Dar es salaam zinapatikana wapi..?
Kwa wateja wa mikoani usafiri ni juu ya mnunuzi ila tutakusaidia kutafuta usafiri wa bei rahisi kupitia magari makubwa yanayofata bidhaa mkoa husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom