charging system nokia lumia 820natengeneza simu online kam ina tatizo kati ya haya yafutayo
1.imezima gafla
2.haitaki kuwaka
3.umeshau password so unataka kuflash
4.imejilock
5.inawaka na kuzima
Na nk kifupi ni tatzo lolote la software
namba yangu hii hapa 0712505049
malipo mpaka kazi ifanyike ukizingua tunahack namba yako ufanyi mawasiliano yoyote we na phone book yako mwaka mzima hacking ni somo zuri sana baada ya kupata mafunzo huko uk now naweza vamia hata website ya usalama wa taifa
malipo mpaka kazi ifanyike ukizingua tunahack namba yako ufanyi mawasiliano yoyote we na phone book yako mwaka mzima hacking ni somo zuri sana baada ya kupata mafunzo huko uk now naweza vamia hata website ya usalama wa taifa
Una masihala sana wewe! hivi unadhani hii nchi wote ni maboya eeeh!
kwani tanzania kuna sheria
mi najua kuna rushwa tu ukiua,ukiiba au ukitapeli mbele ya rushwa hakuna shida
reference,
adrew chenge
kombe
liyumba and other
Nina simu yangu Samsung galaxy note 3, nimefanya factory reset hatimae Samsung logo imepotea nikiwasha na name hata nikizima, natamani kurudisha logo je utanisaidiaje? cc: chief-mkwawa Ahsanteni!
watu simu zao zinzpona kunipa hela hawataki so msingaike jamani
ingia google kisha andika how to hard resert kisha taja aina ya simu.....
Kwa mfano how to hard resert nokia e5
majibu yatakuja
Mkuhu simu yangu himevunjika kihoo.
chukulia kama umefanya kazi na sijakulipa hela sasa hack number yangu na phonebook yangu namba nakupa mwenyewe hii hapa 0774 439364 :smile-big:
Hapo mkuu umekomesha. Nadhani huyu haijui teknolojia vizuri ndio maana.