Big dady 11
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 265
- 261
Maboss zangu mko poa..
Angalia picha zote uone kabla na baada(before and after) ya kuweka showcase..
Showcase za kujengea za kisasa kabisa..
Maboss zangu wengi mnatakaga kujua gharama ila hizi showcase za kujengea ili kujua bei inatakiwa kujua unahitaji design gani, ukuta wako unaukubwa gani na material gani yatumike hapo ndio tunaoataga gharama halisi..
Ila km showcase iyo pichani kwa ukubwa huo kwa material ya bei chee jumla ya gharama ni laki 8na nusu tu.. ila kwa material ya bei ya juu jumla ni laki 9 na nusu..
Bei zangu ni ndogo sana na uwez kuzpata kwa fundi yoyote ispokuwa kwangu..
0692477610