Comrade kumbuka kuweka na picha halisi za kazi zako. Ni muhimu sana kwa wateja wanaovutiwa na kile wanachokiona machoni pao.Karibu 👋🏻
Tuna design na Kuprint
✅Picha,saa za ukutani,picha za frame
✅Vikombe,glass,travel mugs
✅Label stickers, logo, poster, flyers
✅Tunaprint tshirt za sare,vikundi nk.
mawasiliano.
0615321080
KARIBUNI SANA
Tunapatikana Temeke
😂😂😂 sawa mkuu, wawekee picha wadau waruke nazo, hivi unaweza kuprint mifuko ya popcorn na ubuyu?😅😅 hii lazima nilipe tu ntakudaka kwenye nyuzi zako zile
Asante mkuu, niliuliza tu kwa niaba ya wapambanaji.Poa poa Mkuu😅.....Karibu sana
Dua kiongozi.Barikiwa Mkuu uje kuwa Kijana Tajiri
BEI ZA PICHA MBAOBei?