Tunatengeneza na kuuza seat covers za magari

Tunatengeneza na kuuza seat covers za magari

Luxbase Automotive Upholstery

[emoji778]Tunabuni, kutengeneza na kuuza seat covers za magari aina yote, jumla na rejareja.

[emoji778] Tunaweka covers kwenye milango (kwa ndani), kwenye dashboards na paa.

[emoji819]Unachagua kitambaa (material) na mtindo
[emoji819]Tunakuvalishia BURE
[emoji819]Tunatuma nje ya Dar na nchi jirani kama vile Congo, Uganda, Kenya, etc
[emoji819]Kazi zetu zinafanywa na mafundi wenye uzoefu wa miaka zaidi ya 10
[emoji819]Tuna jali muda wa mteja wetu
[emoji819]Uaminifu na usalama wa hali ya juu


Tupo Machinga Complex, Lindi Street, Ilala, Dar es salaam. Wasiliana nasi kwa +255 653 649866
View attachment 1132265View attachment 1132266View attachment 1132268
Weka picha ya gari mlofanyia internal designing before and after
 
Nataka seat cover na dashboard cover ya IST, itanighalimu kiasi gani?
 
We jamaa unaandika kisha unajijibu kwa ID nyingine ili iweje? Tumekustukia huduma zipi na hata picha hujaweka?
hapana mkuu,nimependa huduma zao tu kwa picha,naona kwenye uzi wameweka mawasiliano yao
 
ofcz binafsi nataka ku change tu mwonekano wa ndani wa gari yangu kwa ujumla sasa sijui mnai term vp hasa carpets za chini hasa buti ya nyuma.
 
Back
Top Bottom