Seat covers za magari imara Dar es Salaam

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
238
Reaction score
122
Habari.

Tafadhali, duka lipi hapa Dar seat covers za magari zinauzwa, zikiwa ni zile imara.
Nilifika Kariakoo, duka la kwanza nimezikuta. Tshs 240,000 inashuka hadi 220,000.
Duka la pili naambiwa uliyoona kule ni feki, mimi nakuuzia 200,000 ambayo niliambiwa duka la kwanza ni 240,000.
Duka nyingine tena, 270,000 hii ni kama imara fulani hivi.

Hofu ikaja, ile ya kwanza sikuielewa, je hakuna imara zaidi ikiwa ile ya kwanza niliambiwa ni imara, nikakuta hii nyingine tofauti, kumbe naweza pata nyingine tofauti zaidi. Muda wangu sio mwingi sana kuweza kuzunguka sana. Ndo nakuja hapa.

SASA MWENYE UZOEFU NA HILI HAPA DAR NIPE KILE UNAKIFAHAMU JUU YA UBORA/ UIMARA, DUKA LIPI NA BEI YA KAWAIDA NI IPI.
Ni Harrier old model
 
Kama Wallet yako iko vizuri nenda Safari Automotive Upholstery. Unafika unachagua kitambaa wanakupa makadirio ya bei unaacha gari siku 2 au 3 unafuata. Wakafanya dashbord, doors, floor na paa la gari na seats. Utachagua package tokana na fungu lako. Ila bei sio cheap. Hizo Laki 2 labda doors tu.

Tulipeleka BMW e46 wakasema Laki 8. Sijajua gari lako. Ila ukienda pale gari utakazo zikuta zinafanyiwa kazi ni hatari. Mandinga Makali yote ya Mjini.
 
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
 
Sema wale jamaa ni kama vile ukiingia tu kwenye gari walizofanya kazi unajua tu hii ni ya safari automotive maana almost zote zinafanana zile seat covers huwezi pata ilio unique
 
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
[/QUOTE
Wasiliana na huyu jamaa kwa seat cover Kali 0656268111 duka lipo mikocheni karibu na shopez plaza
Nashukuru sana. Nilishawacheki wamenipa estimate. Thanks
 
Kama Wallet yako iko vizuri nenda Safari Automotive Upholstery. Unafika unachagua kitambaa wanakupa makadirio ya bei unaacha gari siku 2 au 3 unafuata. Wakafanya dashbord, doors, floor na paa la gari na seats. Utachagua package tokana na fungu lako. Ila bei sio cheap. Hizo Laki 2 labda doors tu.

Tulipeleka BMW e46 wakasema Laki 8. Sijajua gari lako. Ila ukienda pale gari utakazo zikuta zinafanyiwa kazi ni hatari. Mandinga Makali yote ya Mjini.
Thank you very much.Nimeshawacheki
 
Hawa jamaa ni level nyingine nilipeleka gari yangu walinifanyia laki 7.5. Siku nimeiuza ile gari nilitamani nitoe zile siti cover na urembo wa dashboard na kwenye milango. Gari ilikuwa nzuri sana ndani baada ya kuniwekea ma-cover yao
Wapo wapi rafiki? Ahsante
 
Mm walinambia 1.2 nikaachana nao

Tatizo ndio ilo kila siku bei zao zinapanda juu. Ilikua gari gani na walisema wanafanya dashboard, roof, carprt na doors n sears au?
 
Back
Top Bottom