Tunatengeneza mizinga ya nyuki ya kisasa

unimaginable

Member
Joined
Jan 31, 2017
Posts
39
Reaction score
53
Habari wadau wa JF. Sina maneno mengi isipokuwa napenda kuchukua fursa hii ya JF kutangaza kwenu wadau wa nyuki na wakulima kwamba Shirika letu la "Tanzania Beekeeping and Environmental Services (TANBEES)" tunatengeneza mizinga ya kisasa kabisa ya nyuki (Langstroth) na mingineyo kadri ya uhitaji wa mteja.

Mizinga yetu inakupa urahisi wa kuvuna mazao yote ya nyuki kirahisi sana. Ofisi yetu ipo Wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga lakini tunapokea order na kutuma mzigo popote Tanzania. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0744203104.

IMG_20250320_101615_937.jpg
IMG_20250320_093917_568.jpg
 
Attachments

  • IMG_20250320_101653_662.jpg
    IMG_20250320_101653_662.jpg
    1.4 MB · Views: 33
  • IMG_20250320_095520_303.jpg
    IMG_20250320_095520_303.jpg
    1.1 MB · Views: 27
Habari wadau wa JF. Sina maneno mengi isipokuwa napenda kuchukua fursa hii ya JF kutangaza kwenu wadau wa nyuki na wakulima kwamba Shirika letu la "Tanzania Beekeeping and Environmental Services (TANBEES)" tunatengeneza mizinga ya kisasa kabisa ya nyuki (Langstroth) na mingineyo kadri ya uhitaji wa mteja.

Mizinga yetu inakupa urahisi wa kuvuna mazao yote ya nyuki kirahisi sana. Ofisi yetu ipo Wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga lakini tunapokea order na kutuma mzigo popote Tanzania. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0744203104.

View attachment 3278133View attachment 3278134
Bei gani. Eleza kila size na bei yake tushawishike!
 
Mzinga huo wa Langstroth una box mbili (box ya chini ipo Kwa ajili ya uzalishaji wa malikia, na box la juu lipo Kwa ajili ya nyuki kuhifadhi asali).

Box la chini: upana 42.5cm, urefu 50.5cm na kina ni 23.5cm

Box la juu: Upana 42.5cm, urefu 50.5cm na kina 15.2cm

BIDHAA UTAKAZOWEZA VUNA KUPITIA MZINGA HUU

1) Asali 2) Nta 3) Chavua 4) Gundi ya nyuki 5) Mkate wa nyuki 6) Royal jelly 7) Sumu ya nyuki.

Bei ya mzinga ni TZS 200,000=
 
Mzinga huo wa Langstroth una box mbili (box ya chini ipo Kwa ajili ya uzalishaji wa malikia, na box la juu lipo Kwa ajili ya nyuki kuhifadhi asali).

Box la chini: upana 42.5cm, urefu 91cm na kina ni 23.5cm

Box la juu: Upana 42.5cm, urefu 91cm na kina 15.2cm

BIDHAA UTAKAZOWEZA VUNA KUPITIA MZINGA HUU

1) Asali 2) Nta 3) Chavua 4) Gundi ya nyuki 5) Mkate wa nyuki 6) Royal jelly 7) Sumu ya nyuki.

Bei ya mzinga ni TZS 200,000=
Mkuu,bei sasa
 
Mkuu,bei sasa
Huu ni uwekezaji mkuu. Linapokuja suala la uwekezaji angalia manufaa na hasara. Samahani kwa usemi huu lakini ndivyo ilivyo kwa watu wengi, linapokuja suala la spending watu wapo tayari kununua kabati au dressing table kwa 500k + na wanaweka tu ndani hazalishi kupitia kabati hilo lkn Kwa Mzinga huu ndani ya mwaka mmoja (1) pesa yako inarudi na surplus. Ni suala tu la vipaumbele na maamuzi sahihi.
 
Naomba kujuzwa ni njia gani hutumika kuvutia nyuki kuingia kwenye mzinga haraka
Nyuki wana sense kwa haraka sana harufu ya products zao kabla ya kitu kingine chochote. Kitu kama asali na nta ni vitu vya haraka kuvutia nyuki kuja eneo husika. Wengi wetu tunatumia nta ya nyuki kuweka ndani na nje ya mzinga kuwavutia nyuki.

Ukiangalia kwenye picha hii ya fremu tumeweka nta ya nyuki lakini tumeenda zaidi Kwa kutengeneza moulding ya Sega la asali Ili kumwonyesha na kumrahisishia nyuki namna ya kupanga Sega lake sambamba na kumvutia aje kwenye mzinga wetu.
IMG_20250320_101947_317.jpg
 
Huu ni uwekezaji mkuu. Linapokuja suala la uwekezaji angalia manufaa na hasara. Samahani kwa usemi huu lakini ndivyo ilivyo kwa watu wengi, linapokuja suala la spending watu wapo tayari kununua kabati au dressing table kwa 500k + na wanaweka tu ndani hazalishi kupitia kabati hilo lkn Kwa Mzinga huu ndani ya mwaka mmoja (1) pesa yako inarudi na surplus. Ni suala tu la vipaumbele na maamuzi sahihi.
Uko sahihi mkuu
 
Mizinga yetu inakupa urahisi wa kuvuna mazao yote ya nyuki kirahisi sana. Ofisi yetu ipo Wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga lakini tunapokea order na kutuma mzigo popote Tanzania. Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0744203104.
Fungueni tawi Kibaha na Mvomero tafadhali tunahitaji sana, bei zenu zikoje
 
Uko sahihi mkuu
Kwa zao la Asali peke yake mzinga wetu unaweza kuvuna mara 3 hadi 4 ndani ya mwaka mmoja (1), na kutokana na fremu zilizopo kwenye mzinga wetu unaweza pata Lita 10 hadi 12 kwa kila mvuno. Ukilinganisha na thamani ya sasa ya asali ni wazi utapata sio chini ya 300k kwa mwaka hapo utakuwa ume break-even ndani ya mwaka 1.
 
Mzinga ni tsh 200,000.
Unakuja pata tsh 300,000 ukiuza faida ni tsh 100, 000. Ndo ume break even kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom