INAUZWA Tunatengeneza furniture aina zote pia tunauza ambazo zimeshatengenezwa

INAUZWA Tunatengeneza furniture aina zote pia tunauza ambazo zimeshatengenezwa

kidawa92

Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
38
Reaction score
51
Habari wakuu?

Karibuni kwa mahitaji ya furniture aina zote zenye ubora wa hali ya juu na za kisasa.

Tunapokea order na pia tuna furniture ambazo ziko tayari

Ofisi zetu zinapatikana tabata mwananchi na keko chang’ombe kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa no 0616941241
 
Dinning table ya kisasa, material mninga ipo tayari lipia na kubeba 1,499,999/= tu free delivery ndani ya Dar. Mikoani tunatuma
0616941241
 

Attachments

  • IMG_2418.jpeg
    IMG_2418.jpeg
    821.1 KB · Views: 4
  • IMG_2415.jpeg
    IMG_2415.jpeg
    837 KB · Views: 2
  • IMG_2414.jpeg
    IMG_2414.jpeg
    723.1 KB · Views: 5
  • IMG_2417.jpeg
    IMG_2417.jpeg
    830.1 KB · Views: 6
Kitanda 5x6 material mninga na mdf.
Kipo tayari lipia 650,000/=
 

Attachments

  • IMG_2412.jpeg
    IMG_2412.jpeg
    735.6 KB · Views: 5
  • IMG_2413.jpeg
    IMG_2413.jpeg
    639.7 KB · Views: 5
  • IMG_2410.jpeg
    IMG_2410.jpeg
    707.3 KB · Views: 4
Dinning table mninga pure
Price 2,000,000/=
Ipo ofisini lipia na kubeba
Contact +255 0616941241
 

Attachments

  • IMG_2435.jpeg
    IMG_2435.jpeg
    469.8 KB · Views: 5
  • IMG_2434.jpeg
    IMG_2434.jpeg
    397.1 KB · Views: 5
  • IMG_2431.jpeg
    IMG_2431.jpeg
    351.9 KB · Views: 4
  • IMG_2432.jpeg
    IMG_2432.jpeg
    394.7 KB · Views: 4
  • IMG_2430.jpeg
    IMG_2430.jpeg
    363.3 KB · Views: 3
  • IMG_2433.jpeg
    IMG_2433.jpeg
    386.7 KB · Views: 4
2,300,000 cash and carry
Free delivery ndani ya Dsm
7 seater turkish material ✅
Contact +255 0616941241
 

Attachments

  • IMG_2446.jpeg
    IMG_2446.jpeg
    457.8 KB · Views: 4
  • IMG_2447.jpeg
    IMG_2447.jpeg
    559.7 KB · Views: 4
  • IMG_2448.jpeg
    IMG_2448.jpeg
    771.8 KB · Views: 5
  • IMG_2444.jpeg
    IMG_2444.jpeg
    571.1 KB · Views: 4
  • IMG_2443.jpeg
    IMG_2443.jpeg
    425.2 KB · Views: 2
Tunatengeneza frame za milango na milango kwa order
Call/whatsapp +255 0616941241
 

Attachments

  • 1773120638797155.mov
    38.3 MB
Kochi la watu saba 1,900,000
Ipo ofisini lipia na kubeba
Delivery ni free ndani ya dsm na mikoani tunatuma
Call/whatsapp +255 0616941241
 

Attachments

  • IMG_2449.jpeg
    IMG_2449.jpeg
    877.6 KB · Views: 6
  • IMG_2451.jpeg
    IMG_2451.jpeg
    873.2 KB · Views: 4
  • IMG_2450.jpeg
    IMG_2450.jpeg
    781.6 KB · Views: 4
  • IMG_2452.jpeg
    IMG_2452.jpeg
    898.3 KB · Views: 3
Hivi huo mbinga huwa una nini cha ziada cha kusababisha bei iwe kubwa namna hio?
 
Tunafunga kitchen za kisasa
hardwood 1,600,000 per square meter (juu na chini) pamoja na marble
Softwood 1,400,000
Contact +255 0616941241
 

Attachments

  • 1773121383909786.mov
    43.4 MB
Hivi huo mbinga huwa una nini cha ziada cha kusababisha bei iwe kubwa namna hio?
Boss mninga ni mbao ngumu inayodumu mda mrefu,
Hairibiki na maji wala kuliwa na mchwa,karibu sana
 
Boss mninga ni mbao ngumu inayodumu mda mrefu,
Hairibiki na maji wala kuliwa na mchwa,karibu sana
Mchwa wanakula mning vizuri tu, kwenye maji mbona fremu za kwenye choo zinaharibika hata kama ni mbinga.

Kati ya mninga na mkarati mkongo na mgama ipi ngumu kuzidi nyingine?
 
Usimdharau usiemjua mkuu 😅 lakini hata vya bei rahisi vipo.
Msisite kunitafuta tuyajenge
Karibu sana.
Kwabei hizo hupat mteja humu wengi mawinga na walimu na wafanyakaz wengine wa tamisemi kada ya afya, mabosi kwelkwel hawafiki 10 na hao waliopo nje ni wabeba box hawawez nunua dining table milion 1
 
Mchwa wanakula mning vizuri tu, kwenye maji mbona fremu za kwenye choo zinaharibika hata kama ni mbinga.

Kati ya mninga na mkarati mkongo na mgama ipi ngumu kuzidi nyingine?
boss mninga super ambao hauna white mchwa haugusi.
Boss mbao kwa ubora mninga mkongo na mkarati zinachuana, mgama ni ngumu pia ila sio kama hizo zingine
 
boss mninga super ambao hauna white mchwa haugusi.
Boss mbao kwa ubora mninga mkongo na mkarati zinachuana, mgama ni ngumu pia ila sio kama hizo zingine
Shukrani sana kwa maelekezo, nakutakia mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom