Tunataka rais aliyesoma shule za kata

Tunataka rais aliyesoma shule za kata

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,390
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu.

MTAZAMO WA KIZALENDO
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Napendekeza Deogratius Kisandu agombee kupitia NCCR maana amesoma shule za kata na akili yake ni ya kikatakata
 
masalia bana.... ukimya woote nilijua unawaza issue ya maana! is this what you have came with!!?? bora umeondoka man..
 
Deogratius Kisandu kweli nimeamini wewe ni Mfamaji na huna hoja.Ndiyo maana ulifukuzwa Chadema hustahili kukaa ndani ya chama hiki.
 
Last edited by a moderator:
Bora ulikimbia chadema unawaza uraisi tu hata ujumbe wa nyumba kumi huna uwezo huo
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO
halafu dogo unapenda kujipa promo za kijinga sana aisee....
 
Kisandu 2015 njoo jimbo la kwimba kwa tiketi ya NCCR ubunge tutakupa and then mwaka 2020 wania urais maana utakuwa umejionea mwenyewe hali halisi na matunda ya shule za kata
 
Kamanda tumekuelewa endeleza mapambano.Mambulula(Bavicha)kama unavyowaita watakuandama hapo
 
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
 
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.
mkuu Molemo embu rudi hapa utoe ufafanuzi tafadhali....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Deo hii mada kuiweka hapa kweli yajionesha wewe ni mwalimu wa UPE.hakuna cha kujadili hapa
 
kaka MOLEMO wapiga kura walio wengi wamesoma shule za kata fanya upembuzi yakinifu, halafu umesahau mimi CDM si kufukuzwa nilijivua uanachama kwa maana mna poka demokrasia.

wakati unaenda huko cdm hadi kugombea ubunge kupitia cdm hiyo demokrasia uliitoa wapi? kaa utulie ya cdm sasa hivi hayakuhusu
 
Muda mwingine ujinga huwa sehemu ya maumbile. Sijaona cha kujadili hapo
 
Yesu wangu!mbona mweupe sana wewe jombaa!yani wewe ndo mwenyekiti wa nn taifa?mimi nilidhani wale watoto wa facebook ndo wamevamia hapa!ukitaka kuandika uwe unamuonesha kwanza Mbunge viti maalum(Mbatia)akusahihishe
 
Ndio maana mimi napenda kusema Rais ajaye lazima awe amesoma shule za kata huyu ndiye anajua machungu ya watanzania na lazima awe amesoma vyuo vya hapahapa bongo anajua machungu ya bodi ya mikopo, migomo ya vyuoni, ujinga unaoendeshwa na baadhi ya wahadhiri kuchelewesha watu kupata shahada za Uzamivu. MTAZAMO WA KIZALENDO

Samahani mkuu, vp Mbatia hakupigwa nshale ya makalio?
 
Muda mwingine ujinga huwa sehemu ya maumbile. Sijaona cha kujadili hapo
ndugu yangu ujinga ni kilema, mwenzetu amepata kilema tusimcheke, hakupenda aumbwe hivyo
 
Yani wewe deogratius na yule juliana shonza lenu moja tuu. Mbulula mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom