Tunataka kile usichokuwa nacho

Nimependa hiyo quote, pia ujumbe mzuri miss.
 
WOMEN DONT KNOW WHAT THEY WANT,FOR SURE
 
Mimi sina pesa na kwa kuwa nina kipaji Mungu alinijalia nina mrembo mkali sana na yeye alinipenda sababu ya kipaji changu tu sio pesa.
Huyu mrembo mpaka sasa niko naye na anakipato kunizidi lakini ndiyo hivyo tena kipenda roho...
 
haahahhaaaa,,,,, miss chagga umefunguka mnoooo...... ila inabaki pale pale...... hamueleweki kabisa...unaweza acha kumfunga zipu tuu ya gauni....kisa uliwahi kuondoka,,,,sikilizia mtiririko wa mistari... mpaka simu inazima......
 
Mkuu miss chagga upoo? hahahaha
 
haahahhaaaa,,,,, miss chagga umefunguka mnoooo...... ila inabaki pale pale...... hamueleweki kabisa...unaweza acha kumfunga zipu tuu ya gauni....kisa uliwahi kuondoka,,,,sikilizia mtiririko wa mistari... mpaka simu inazima......
Ha ha ha ha
 
unatumia nguvu nyingi kuhalalisha uchunaji, wanawake wapenda hela siku zote ni mizigo , uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana , hawana tofauti na wanaojiuza maana wote shida yao ni ileile pesa
 
Wengi hawajui wanahitaji nini. Hivyo kila kinachomjia kichwani twende!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…