Nikipata hii nafasi yakua baba wa kaya hii ya Tanzania nitakuambia....na jiandae kua waziri wa mambo ya ndani
Duh!!! Hapana, kule kuna mapepo yanaitwa pesa, bora uwe waziri maana hiyo BOT......
Nikikueka BOT hizo barabara zenye maji sijui nitatengeneza na nini
hahahha tena mi ndo nitakuwa mshauri mzuri tutaanza kuweka kinjia cha home kwako
Utawafanya watanzania waitamani ccm irudi kushika nchi....mimi nataka mawaziri wote wasimame kituo cha daladala wapande basi, hamna ving'ora ila mimi tu...utaweza?
Tunajenga nchi kwanza inabidi tukomae sana...kutakua na office bus hamna mtu kuingia na gari lake mjini,,,,hapo vipi?
Na tulivyo na shida ya maji,tutageuza sehemu za kuchotea maji
sasa na magari yetu itakuwaje
Yatakaa ndani kwanza waziri wangu....haiwezekani mama, baba, mtoto, wote wanaenda mjini kila mmoja na gari lake...nikifanya hivo foleni haitaonekana kote...wote watapanda daladala ambazo zitakua safi sana....au unaonaje?
Unaenda wapi tena?
Usiku mwema shemeji