asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Salam
Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote
1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper
2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers
3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers
4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,
Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com

mhuuuu,baadae msiwaombe pesa,maana ninavyojua na nyie mnataka kuwafanya wanaotafuta ajira kama ajira yenu,mjini ujanja ujanja tu,mnatumia matatizo ya wenzenu kujinufaisha
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili
Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana
tunaendelea kupokea CV
Tunawashukuru wote mliofika kwa ajili ya usaili
Tunawaomba nyote mnaotuma CV hakikisha namba ya simu uliyoweka kwenye CV yako inapatikana hili limekuwa tatizo unakutana na CV nzuri na mna mteja anahitaji such staff ila tunapiga simu hazipatikani na tunatuma email hazijibiwi.Jitahidini kwenye eneo la mawasiliano ni muhimu sana
tunaendelea kupokea CV
Salam
Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote
1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper
2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers
3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers
4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,
Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com
Nawashukuru sana nyie ni wakombozi wa watanzania nimepata habari zenu hongereni,watanzania mnaotafuta kazi hakuna toauti ya kutuma na kutotuma cv huku la zaidi ni kuwa ukituma unajiwekea uhakika kama ni kweli wa kupata kazi ila kama sio kweli haikugharimu kitu,Kazi kwenuSalam
Tunatafuta wafanyakazi wa kada zote
1-Walinzi,Mawaiter,Macleaner,Magardener,Drivers,PVC Technicians,Secretaries,Receptionist,Guest Helper
2-Wahasibu,Mastoo Keeper,Operations,Office Assistents,Legal Officers,Marketing Officers
3-General Managers,Financial Controller,Chief Accountants,Auditors,Lawyers
4-Business Advisers,Hr Managers,Teachers,
Tuma Barua , CV yako ikiambatana na scanned copy ya vyeti vyako kwa email yetu ya lenjentz@gmail.com
anafanya research ya watu wasio na ajira, nadhani jamaa atakuwa anasoma masters ya hrm, kwa hiyo anataka kujua ni profesional gani inayoongoza kwa wasio na ajira, believe me!