BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
mimi ni Real Estate Agent ninayo hayo maeneo kuna heka 100,000 na 25,000 kama utapenda tuwasiliane 0657145555 thomasnelson564@yahoo.comMy company has teamed up with a Chinese Company (Green Energy Company)
The long term plan it to produce bio fuel but currently we are looking at cultivating maize, sugarcane, rice, sorghum and cassava.bThe Goverment had already allocated us with a big land in the southern part of Tanzania but it has already taken us almost two years chasing for ground works like Title Deed ect.
We have decided to abandon the previous plan and now looking for a private land that we can buy.
Incase you have or you have useful information please PM me so that we can arrange for a meeting
Regards
Rush to Dodoma right now with all your papers and see THE minister responsible with land. Have copies of documents and a covering letter addressed to Mama TIBAIJUKA STATING STRAIGHT THAT ``WE HERE TO SEE YOU BECAUSE WE HAVE BEEN STRANDED AND WE EXPECT YOU TA ACT ON THIS.attach all the copies concerning the matter. Dont give up am telling you this will be very easy solution .
Asaanteni kwa maoni yenu, kwa set up ya hii nchi hatuta kaa tuendelee. Issue yetu imeshafika mpaka PM office lakini ni zengwe tu ndio maana tukaona labda tutafute land tununue tu. Kumbe tena land kubwa lazima twende tena TIC. TIC wameshatuzungusha sana sana sana. Oh my GOD BARIKI TANZANIA BARIKI MASIKINI NCHI HII
Sorry to say this but i do not thlnk any country will accept to give a foreign firm such acreage for planting maize. Hizo ni biashara za wazawa. Maybe bio fuel and this only a factory for processing, the actual growing should also be sub contracted to to wazawa.
Kwanini hujafanya utafiti wa kutosha kabla hujalianzisha? Nilichoona hapa ni kwamba you have very limited knowledge about land tenure system in Tanzania. Iwapo the most significant resource katika biashara yako ni land, jifunze hilo kwanza kwa undani. Na usijifunze mfumo ulivyo leo tu, jifunze possible changes in the future, kwa sababu investment yako ni ya muda mrefu, unaweza kuingia gharama baada ya miaka kumi unaambiwa kuna restrictions kedekede...
Serikali ya kijiji inaweza kugawa ardhi hadi ekari 50 tu kwa wanakijiji na wanaotaka kuahmia kuwa wanakijiji. inayozidi hapo hadi angalau ekari 100 sharti halmashauri ya wilaya ishusike. Ardhi yoyote inayozidi ekari 250 humhusisha hadi kamishna wa ardhi endapo tu mwombaji anataka kupewa hati miliki. LAKINI kwa wanakijiji wanaomiliki ardhi hata zaidi ya kiwango hicho utaratibu huu hau apply maana huwezi kuwanyana'anya ardhi wanayomiliki kihalali ili wabakiwe na 50 au 100. Wewe ukitaka kumiliki kimila kijijini labda uipate kwa mwenyeji akuuzie ndani ya kijiji kwa ushahidi wa viongozi wa kijiji na usahau ndoto ya kupata hati kwa kamishna. Ukitaka hati, sharti ardhi hiyo ihawilishwe na ihusishe wanakijiji wote waridhie katika mkutano mkuu maana ukishapata hati ardhi inakuwa si ya kijiji tena bali ya jumla na hivyo utawala wake unakuwa wa Kamishna si kijiji tena. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya vijiji namba 5 ya 1999 na kanuni zake za 2001