Tunatafuta kazi

Feb 1, 2018
50
9
Habari?sisi ni wasichana wawili, miaka 23,tunatafuta kazi ya bar, tunaishi dar, tupo tayari kwenda mkoa wowote. Kwa anaehitaji wahudumu wa bar tutafute kupitia no 0712242034
 
Nadhani watakuja wadau, watakusaidieni. Kwahiyo, ninyi nyote mna umri mmoja na mnatumia namba moja ya simu? Nawatakia kila la kheri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom