Tunasubiri Treni sasa!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Zunguka jijini Dar es salaam, utagundua kuwa kuna maeneo Reli inakutana
na Barabara na bado maeneo hayo hayana tahadhari yoyote kama maeneo
mengine. Hakuna mtu anayesimama na bendera kama inavyofanyika maeneo
ya Kamata pale kariakoo. Tunasubiri tu siku ikitokea tuunde tume maana
serikali yetu kila kitu ni tume, hata ukisema tume ni nyingi tunaomba
zipunguzwe wataunda tume ya kuipitia hoja yako.

Tunasubiri maombolezo ya Treni!
 
Wataniundia hadi tume ya kuchagua mchumba muda si mrefu. HILI NALO NENO GAZETI mie niliponea chupuchupu kufa maeneo ya buguruni. Yaani hii nchi sijui viongozi wake huwa wanafikiria nini jamani??
 
Back
Top Bottom