Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

Tunasimama na Hayati Dkt. Magufuli

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,598
Reaction score
4,471
"NAAAM....!

Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.

Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.

Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.

" Siku moja mtanikumbuka"- JPM.
"Vita ya kiuchumi ni ngumu"- JPM
"Nimeamua kuwa Sadaka ya Watanzania" - JPM.
"Nimesacrifice Maisha yangu kwa ajili ya Watanzania Wanyonge" - JPM.

Note Uzalendo ni kusimama na nchi yangu, uzalendo si kusimama na hili kundi la kinafiki lililojitokeza ili wafute mazuri ya JPM kinafiki.

Nawasilisha
 
Kwamba stendi Haina manufaa😄😄
Bomoeni turudi ubungo.

Kwamba mradi wa bwawa la umeme hauna manufaa,uacheni na tufugie samaki.

Kwamba Reli ya umeme haikupaswa kuanza basi sitisheni na muifukie.

Kwamba ndege Zina hasara,uzeni tu msiongee Sana.
Kwamba daraja la ubungo si kitu,livunjeni tupite chini.

Kwamba umeme mpaka vijijini Ni geresha na nguzo za umeme Ni ufisadi,tuone nguzo ondoeni umeme mpaka vijijini.

Kwamba meli mpya Ni ufisadi basi vunjeni tufanye screpa vyuma vyake.

Kwamba daraja la salender si kitu,sitisheni na vunjeni haraka Hilo daraja myeyushe vyuma tutengeneze masufuria ya ubwabwa.

Kwamba ongezeko la dhahanati hakuna kitu,pigeni minada hizo zahanati zigeuzwe migahawa ya chakula.

Kwamba madini yanatoroshwa mererani,vunjeni ukuta na muwapangie majukumu mengine JKT.

Kwamba Bandari ya bagamoyo muhimu,basi ingieni mikataba wa miaka99 na msiangalie sharti hata chembe.

Kwamba elimu bure SI kitu,rudisheni ada tu watu walipe.

Kwamba wafanyabiashar na wawekezaji wasiotaka kulipa Kodi warudi,ondoeni kabisa Kodi waje wajitanue.

Kwamba mwendokasi na Barabara zinazojengwa Ni ufisadi,basi zisitishwe Mara moja.

Kwamba COVID-19 eti nn vile???
Na Kila tutachoona JPM kakifanya tukigeuze tu Kwan nn banaa,SI kaendaaaaa!

Yetu macho siye,JPM bado sijaona Kama wewe,CHUMA halisi Cha mwafrika.
Baada ya SOKOINE Sasa historia imemuandika JPM,wazalendo halisi walioondoka ingali bado nchi inawahitaji.
 
'
Screenshot_20210409-141225.jpg
 
Naimani hata unachoandika hujui,yaani wajinga ninyi (Mataga & Praise team) hadi mtatueleza kwanini BLUE BAND ina rangi ya NJANO lakini inaitwa "BLUE" BAND, kifo + CAG = FULL MVURUGIKO.

SISI SIO WANYONGE.View attachment 1747487
Wanyonge walioongelewa ndo sisi ukijiona haupo Hilo kundi temana nalo tuachie wenyewe tunajua
 
Kwa hiyo unakubali mama ni zaidi ya yule mwizi? Mama anaweza kuliko yule aliyedhani nchi ni mali yake.
Acheni Sasa kutujazia mathread yenu yasiyo na mbele Wala nyuma.
TUNAJUA team Chadema na team CCM MASLAHI mmeungana baada ya huyu mwamba kuwabania njia zenu za upigaji
 
Vunjeni vunjeni banaa, what's so special for you!
Kisha mkimaliza niende kuchimbua kaburu lake mkamning'inize kwenye kamba mmalize hasira zenu za kipuuzi
Mmekwapua fedha nyingi sana kwa mujibu wa CAG
 
Back
Top Bottom