Tunashukuru TBC 1

Naona imekuwa shida kunielewa, kwani isingetosha kuonyeshwa katika taarifa ya habari?
Kwa hiyo kupata airtime ya kutosha ndio kutamfanya awe anakuja mara nyingi mama?

Kuonyeshwa kule ilikuwa kuwaonyesha mgeni wao Wakitaifa alivyofanyiwa dhifa ya Kitaifa na wamsikilize anasema nini. Ni kitu cha kawaida kabisa, naona ajabu mnaokurupuka na kujidai oooh taarifa ya habari sijui nini, Mengi akialika vilema tu huwa anawasimbulia na kuonesha live na hamsemi kitu, na unaambiwa unapotowa na mkono wa wa kuume hata wa kushoto usijuwe. Mnataka kusema nini nyinyi? Kikwte kawakaa rohoni, kila anachofanya sicho, roho zinawauma mafanikio anayoyapata, na mtakufa navyo vijiba vya roho. mtamuona hivi hivi ji handsome letu.
 
Wewe DC wa Igunga hapo juu bora kaa kimya maana hujui unasema nn !! Inji gani hizo uliona wanakatisha vipindi masaa yote hayo ku-cover dhifa ya toto jizu zima hilo !! Mazoea ya mabakuli mabaya sana, mmempiga mzinga yule wa saudi, ss huyu mnajikomba hapa (huyo Mende) si alijifanya ana jeuri anafanya nn hapo ??
Haya viongozi wa dini zote Iringa wanataka tamko la Rais kupinga ushoga...... tinasubiri kwa hamu...!!
 
Wananchi watanzania tumezoea kuhabarishwa kupitia hiki chombo cha UMMA hasa taarifa ya habari kila saa mbili jioni. Leo vipi mnatuonesha mafisadi na wezi wanavyo kula matunda ya uhuru wa nchi yetu.Astagaflah kwahiyo mmeona kufanya hivyo MODS NAJUA NAWEZA PEWA BAN KWA HILI NITAKALOSEMA Serikali na viongozi wake ni wapumbavu,wajinga,manyani,******* tena saanaa am ready for any thing.

okey unataka nikupige ban ya muda gani ??? kwa kuichafua TBC???
 
itabidi TBC ipigwe barn pia na wananchi.ktk katiba mpya mkumbuke
suala la TBC kuwa shirika la umma na shirika la ndege pia
naaminsha mashirika muhimu kama hayo yamilikiwe na wananchi na
wananchi wawe ndio waamuzi wa mwisho kiutendaji kama ilivo BBC au KBC na Kenya airways ndio maana wanasongoa mbele
bila hivo TBC itaendelea kuwa nyumba ndogo ya magamba ITASIFIA PAISPOSIFIWA
sii kila mwananchi ana haja kuangalia hafla ya mwanamfalme kumkumbatia ni sawa na kukubali ushoga ili wapewe misaada
kwa akili zao za kitoto wamedhani TBC ikionyesha BBC nayo itatangaza live.
 
Fox aka wolf tuambie taifa lipi alitembelea hakawa live mpaka wakasitisha vipindi vyao.Damn usitufanye wajinga kama wewe!
 
Fox aka wolf tuambie taifa lipi alitembelea hakawa live mpaka wakasitisha vipindi vyao.Damn usitufanye wajinga kama wewe!
Katika watu ambao unatakiwa kutumia akili sana kuwaelewa ni FAIZA FOXY
sio kila anachoandika ndicho anachomaanisha wakati mwingine anakuwa
kinyume na alichoandika hivyo ni vigumu ukitumia akili nyepesi kuelewa hilo
ndio maana siku zote naamini kuwa huyu mtu ni MWANAUME!
 
Back
Top Bottom