Tunashukuru sana mh. Nape!

Tunashukuru sana mh. Nape!

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Hatimaye Katibu mwenezi na Itikadi nape nauye atoa computer katika tawi la smmuco(compus ya mwika) ikiwa ni ahadi yake wakati wa kuzindua tawi hilo.Hii jitihada za kuhakisha chama cha mapinduzi kinaendeshwa kidigital .
 
Bora kitu cha kawaida na hamna haja ya kushukuru, je fedha za EPA zikirudi tutanunua computer ngap?
 
Vipi hawa magamba wanafurahia computer za mitumba bei yake haifiki hata laki mbili
 
ukishindwa kushukuru kwa kidogo hata kwa kikubwa huwezi kushukuru
 
Safi sana mh Nape kwa kutimiza ahadi yako ni vizuri kushukuru ata kama ni kidogo wana CCM msikatishwe tamaa na hawa dagaa wadogo wa CDM wasiojua chama chao kinapotoka na kinapoelekea, hakuna jambo lolote zuri wanalosifia kazi yao ni kupinga tu hasingetimiza ahadi yake wangemsema leo katimiza bado wanasema, jamani tuwazoee ndivyo walivyolelewa na wenye chama chao kazi yao ni kupiga makelele kama vyura mabondeni ata kama jambo ni zuri!
 
shukrani ni kwa zawadi na si kwa mtu anayetimiza wajibu wake.
watanzania ndo maana tunachekwa na wakenya kwa lugha yetu wenyewe.
jitu linaenda dukani na hela linasema naomba sukari.
kwa nini usiseme nipe sukari?
ndo maana wamafisadi wanaomba kazi ya kuwaongoza kwa kuwaahidi jinsi watakavyotekeleza majukumu yao halafu mnashangilia.
 
Teh!teh!teh! Mi nilifikiri kwa jinsi anavyoibomoa ccm kumbe computer
 
Hatimaye Katibu mwenezi na Itikadi nape nauye atoa computer katika tawi la smmuco(compus ya mwika) ikiwa ni ahadi yake wakati wa kuzindua tawi hilo.Hii jitihada za kuhakisha chama cha mapinduzi kinaendeshwa kidigital .

Kwa hiyo sasa mtakuwa wengi sana humu?
Ngoja tukae mkao wa kuona vituko.
 
Umeleta uzi wenye mada legelege kama chama chako
 
TUACHE UNAZI, PENYE TIKI IPIGWE TIKI. Angekuwa CDM thread ingekuwa ndefu sana.
ina maana hiyo desk top ya shs 180,000/= haitasaidia hilo tawi hapo Mwika?
 
Nadhani ule mpango wa kujaza vijana humu jf huajafanikiwa bado ndio maana kaamua kuongeza nguvu.!
 
TUACHE UNAZI, PENYE TIKI IPIGWE TIKI. Angekuwa CDM thread ingekuwa ndefu sana.
ina maana hiyo desk top ya shs 180,000/= haitasaidia hilo tawi hapo Mwika?

Ushasema ingekuwa CDM, inamaana hata wewe unawakubali CDM na unajua hawana hela za EPA wala KIWIRA na Utoroshwaji wa Twiga
 
TUACHE UNAZI, PENYE TIKI IPIGWE TIKI. Angekuwa CDM thread ingekuwa ndefu sana.
ina maana hiyo desk top ya shs 180,000/= haitasaidia hilo tawi hapo Mwika?

duh! Hiyo desk top ya 180,000 pentium ngapi mkuu?
 
astaghafilulah! Mi nilijua amefanikiwa ile kampeni yake ya vua gamba, vua gwanda vaa uzalendo
 
Hivi huyu anajua bei za laptop kwel'! Inawezekana hajui na wala hana ndo mana anashoboka', Nape ndo kaona awadanganye kwa hlo ama kweli' mmesoma lakini hamjitambui.
 
Back
Top Bottom