Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Mar 14, 2012 #1 wazee wakiserebuka...
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Mar 14, 2012 #2 hahhahahah, matatizo yapo tu kila siku eidha kwa kujitakia au kwa bahati mbaya. raha jipe mwenyewe japo mara moja moja
hahhahahah, matatizo yapo tu kila siku eidha kwa kujitakia au kwa bahati mbaya. raha jipe mwenyewe japo mara moja moja
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Mar 14, 2012 #3 tena viduku ndivyo wanavyocheza..
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 883 Reaction score 169 Mar 14, 2012 #4 wamepauka hao duh
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,234 Mar 14, 2012 #5 RICH OIL SHEIKH said: wamepauka hao duh Click to expand... Huyo ndio mtanzania ambaye hata umwambie nini kumwelimisha atakwambia mimi ni sisiemu sababu ilinipa uhuru..wakati yawezekana hata wakati wa uhuru alikuwa hajazaliwa..safari bado ni ndefu..
RICH OIL SHEIKH said: wamepauka hao duh Click to expand... Huyo ndio mtanzania ambaye hata umwambie nini kumwelimisha atakwambia mimi ni sisiemu sababu ilinipa uhuru..wakati yawezekana hata wakati wa uhuru alikuwa hajazaliwa..safari bado ni ndefu..
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 14, 2012 #6 Wameweka shida chini wanatupa mikono juu. Wana ba ba banjuka tu.