Tunasafirisha mizigo ndani na nje ya nchi

Tunasafirisha mizigo ndani na nje ya nchi

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
RICK PLAN COMPANY LIMITED ni kampuni binafsi yenye usajili na leseni halali kibiashara.
Tangu 2011 kampuni imekuwa ikijihusisha zaidi na Biashara ya Usafirishaji wa bidhaa au mizigo mbalimbali ndani na nje ya nchi....yaani hapa Tanzania (Mikoa, wilaya, miji na vijiji) na Nje kama Malawi, Zambia, Congo drc, Uganda, Kenya na Rwanda.


Bidhaa na mizigo ambayo kwa muda sasa tumeweza kusafirisha ni:
  1. Makontena ya ft 20-40
  2. Motor graders (Dsm -migodini nk)
  3. Vipuli mbalimbali na mitambo ya migodini, ujenzi barabara nk
  4. Upakiaji na usafirishaji wa mizigo ya mazao
  5. Upakiaji na usafirishaji bidhaa za kibiashara za aina yoyote.
  6. Usafirishaji bidhaa mchanganyiko za wafanya biashara kutoka Dsm kwenda Mbeya, Moshi, Arusha na Bukoba.
KWA UFUPI tunakuhakikishia kuwa ukiitumia kampuni yetu itakurahisishia na kukuhakikishia usalama wa mzigo wako na kukufikishia kwa wakati mzuri. Taratibu zote za vibali na mengineyo tutashirikiana.

Tupo kariakoo mtaa wa Ndovu/Nyamwezi. Wasiliana nasi kwa no 0692138944
 
Vitu vya ndani kama MTU anahama mkoa mnasafirisha?
 
Back
Top Bottom