BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Vyama vya upinzani ni demokrasia na ni chachu ya kuleta maendeleo.Ni kama vile zilivyo dini mbalimbali na waumini wake.Kwa Tanzania vyama vya upinzani imekua ni uadui mkubwa na uhasama usiokwisha.Wapinzani nao wamejaa mamluki kibao wakijifanya ni wa vyama husika kumbe wanaharibu vyama husika.Nashauri kama mwananchi wa kawaida,kama upinzani umekua mwiba turudi mfumo wa chama kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app