Papaa Muu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 243
- 292
Seif Sharif Hamadi asitake watu wafwate mwangwi ya sauti yake badala ya kuwaacha watu watafakari juu ya Kauli za Hamasa alizokuwa anazitoa kwa wafuasi wake.
Leo sefu na washirika wake wameacha agenda ya kuapishwa, ameacha zile slogan za tuko tahiyatu ya mwisho
Ameacha maneno kuwa: mado masaa tu lazima jambo liwe!! Lakini leo yeye na wapiga dili wenzie wanahangaikia MATUMBO yao na agenda ya Urais imeyeyuka kama Barafu
Niwaulize Wazanzibar
Kitu gani kimewasahaulisha madhila na mateso mliyoyapata hadi leo mnaghururika na Sefu wakati mnauawa hakuwepo na aliwakimbia akaenda kula Bata Ulaya akiwa na Jusa!!
Mmebaki mayatima, Wajane, Vilema, wengine mmefilisiwa Mali zenu kwa sababu ya CUF
Sefu huyu huyu ndiye kawaachisha Wawakilishi na Madiwani kudai HAKI YAO mahakamani leo anawabwaga!!
Hapa kwa mwenye akili zilizosawasawa lazima atafakari
Wazanzibar Mnapoteza Historia yenu katika Siasa
Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla ukizungumza chama cha Ukombozi chenye kumjali na kumpigania Mtanzania hakuna chama kingine tofauti na CUF
Chama kilichosimamia HAKI na kudai Demokrasia katika nchi ya Tanzania hakuna kingine ila ni CUF
Watanzania waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Kudai UHURU wa Mawazo, Kujieleza, wanatoka chama cha CUF
Watanzania waliopoteza damu zao kwa kudai
1. Daftari la kudumu la Wapiga Kura
2. Uhuru wa Kufanya Mikutano
3. Tume Huru ya Uchaguzi
Ni CUF pekee na hamna chama kingine chochote kilichowaunga mkono CUF wakati wa Madai haya
Leo Wazanzibar mnapoteza Historia kwa kumfwata mtu anayejali tumbo lake kuliko Maslahi ya Ummah
✍🏼 Amewaachisha Wawakilishi kudai HAKI ZAO mahakamani kwa sababu ya Maslahi yake
Tunaposhusha Tanga kabla ya Kupandisha Tumuulize Sefu lini ataapishwa kuwa Rais wa Zanzibar??