Tunaposhusha tanga na kupandisha tanga tujiulize ahadi ya kuapishwa imeyeyukia wapi?

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
292
Seif Sharif Hamadi asitake watu wafwate mwangwi ya sauti yake badala ya kuwaacha watu watafakari juu ya Kauli za Hamasa alizokuwa anazitoa kwa wafuasi wake.

Leo sefu na washirika wake wameacha agenda ya kuapishwa, ameacha zile slogan za tuko tahiyatu ya mwisho

Ameacha maneno kuwa: mado masaa tu lazima jambo liwe!! Lakini leo yeye na wapiga dili wenzie wanahangaikia MATUMBO yao na agenda ya Urais imeyeyuka kama Barafu

Niwaulize Wazanzibar
Kitu gani kimewasahaulisha madhila na mateso mliyoyapata hadi leo mnaghururika na Sefu wakati mnauawa hakuwepo na aliwakimbia akaenda kula Bata Ulaya akiwa na Jusa!!

Mmebaki mayatima, Wajane, Vilema, wengine mmefilisiwa Mali zenu kwa sababu ya CUF

Sefu huyu huyu ndiye kawaachisha Wawakilishi na Madiwani kudai HAKI YAO mahakamani leo anawabwaga!!

Hapa kwa mwenye akili zilizosawasawa lazima atafakari

Wazanzibar Mnapoteza Historia yenu katika Siasa

Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla ukizungumza chama cha Ukombozi chenye kumjali na kumpigania Mtanzania hakuna chama kingine tofauti na CUF

Chama kilichosimamia HAKI na kudai Demokrasia katika nchi ya Tanzania hakuna kingine ila ni CUF

Watanzania waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Kudai UHURU wa Mawazo, Kujieleza, wanatoka chama cha CUF

Watanzania waliopoteza damu zao kwa kudai
1. Daftari la kudumu la Wapiga Kura
2. Uhuru wa Kufanya Mikutano
3. Tume Huru ya Uchaguzi

Ni CUF pekee na hamna chama kingine chochote kilichowaunga mkono CUF wakati wa Madai haya

Leo Wazanzibar mnapoteza Historia kwa kumfwata mtu anayejali tumbo lake kuliko Maslahi ya Ummah

✍🏼 Amewaachisha Wawakilishi kudai HAKI ZAO mahakamani kwa sababu ya Maslahi yake

Tunaposhusha Tanga kabla ya Kupandisha Tumuulize Sefu lini ataapishwa kuwa Rais wa Zanzibar??
 
Amewaachisha Wawakilishi kudai HAKI ZAO mahakamani kwa sababu ya Maslahi yake

Wewe ulitaka ajiunge chama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwaulize Wazanzibar
Kitu gani kimewasahaulisha madhila na mateso mliyoyapata hadi leo mnaghururika na Sefu wakati mnauawa hakuwepo na aliwakimbia akaenda kula Bata Ulaya akiwa na Jusa!!
Mkuu tuanze hapa.. Waliuawa na nani?
Na kwa sababu gani?
Kwanini Vifo vya Wazanzibar analaumiwa Seif na si huyo Muuaji..
Pia sababu za Yeye kuapishwa hazina mashiko kwa sasa, Maana alishinda mgombea wa CUF hivi sasa yuko ACT ..
Tafuta hotuba mbovu ya Jiwe aliyoitoa Zenj iliyojaa Chuki, Majivuno na Ushamba ndiyo ujue kwanini Seif alitafuta njia za ustaarabu zaidi..
 
Seif Sharif Hamadi asitake watu wafwate mwangwi ya sauti yake badala ya kuwaacha watu watafakari juu ya Kauli za Hamasa alizokuwa anazitoa kwa wafuasi wake.

Leo sefu na washirika wake wameacha agenda ya kuapishwa, ameacha zile slogan za tuko tahiyatu ya mwisho

Ameacha maneno kuwa: mado masaa tu lazima jambo liwe!! Lakini leo yeye na wapiga dili wenzie wanahangaikia MATUMBO yao na agenda ya Urais imeyeyuka kama Barafu

Niwaulize Wazanzibar
Kitu gani kimewasahaulisha madhila na mateso mliyoyapata hadi leo mnaghururika na Sefu wakati mnauawa hakuwepo na aliwakimbia akaenda kula Bata Ulaya akiwa na Jusa!!

Mmebaki mayatima, Wajane, Vilema, wengine mmefilisiwa Mali zenu kwa sababu ya CUF

Sefu huyu huyu ndiye kawaachisha Wawakilishi na Madiwani kudai HAKI YAO mahakamani leo anawabwaga!!

Hapa kwa mwenye akili zilizosawasawa lazima atafakari

Wazanzibar Mnapoteza Historia yenu katika Siasa

Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla ukizungumza chama cha Ukombozi chenye kumjali na kumpigania Mtanzania hakuna chama kingine tofauti na CUF

Chama kilichosimamia HAKI na kudai Demokrasia katika nchi ya Tanzania hakuna kingine ila ni CUF

Watanzania waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Kudai UHURU wa Mawazo, Kujieleza, wanatoka chama cha CUF

Watanzania waliopoteza damu zao kwa kudai
1. Daftari la kudumu la Wapiga Kura
2. Uhuru wa Kufanya Mikutano
3. Tume Huru ya Uchaguzi

Ni CUF pekee na hamna chama kingine chochote kilichowaunga mkono CUF wakati wa Madai haya

Leo Wazanzibar mnapoteza Historia kwa kumfwata mtu anayejali tumbo lake kuliko Maslahi ya Ummah

✍🏼 Amewaachisha Wawakilishi kudai HAKI ZAO mahakamani kwa sababu ya Maslahi yake

Tunaposhusha Tanga kabla ya Kupandisha Tumuulize Sefu lini ataapishwa kuwa Rais wa Zanzibar??
Huyu jamaa ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Siasa ni baashara kama biashara nyingine ukiona upande huu hakuna faida unahamia kule. Waliokufa na kuteswa ni kwa sababu ya upumbavu wao. Kwani wao walishawahi kumuona mtoto wa Seif au Mbowe kaandamana. Tatizo hawa jamaana wanaomfuata Seif wanajua siasa ni dini wakifa watakuwa wamekufa katika jihad kumbe umbumbu ndo unaowasumbua si lingine. ITATUCHUKUA MUDA SANA WATANZANIA KUFIKA TUNAPOKWENDA
 
Umeshawahi kujiuliza wakati hapa kwetu watu wanauawa, wanashambuliwa, wanapotezwa, wanatekwa, wanafunguliwa kesi zisizoeleweka, wananyamazishwa huyu wa kwenu yeye anakula bata wapi?
 
Kwa akili zako binafsi sio za lumumba unafikr Cuf hyo unayoisema hapo ndio hii ya sasa hvi?
 
Wagombea wote wa Urais wa Ukawa Bara Na Visiwani wametelekeza Vyama vilivyowapa fursa ya kugombea Urais
 
Umeshawahi kujiuliza wakati hapa kwetu watu wanauawa, wanashambuliwa, wanapotezwa, wanatekwa, wanafunguliwa kesi zisizoeleweka, wananyamazishwa huyu wa kwenu yeye anakula bata wapi?
Usipanic kaka
 
Huyu jamaa ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Siasa ni baashara kama biashara nyingine ukiona upande huu hakuna faida unahamia kule. Waliokufa na kuteswa ni kwa sababu ya upumbavu wao. Kwani wao walishawahi kumuona mtoto wa Seif au Mbowe kaandamana. Tatizo hawa jamaana wanaomfuata Seif wanajua siasa ni dini wakifa watakuwa wamekufa katika jihad kumbe umbumbu ndo unaowasumbua si lingine. ITATUCHUKUA MUDA SANA WATANZANIA KUFIKA TUNAPOKWENDA
kwakweli hata na mimi nimeliona hilo
 
mlitaka chama.
Mzee kawaachia mnapoanza kumuandama tunashindwa kuwaelewa.
Nani asiyejua kilichotokea Zanzibar si matokeo yalifutwa baada ya maalim kuongoza kwa asilimia 52.
jifunzeni kuona aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
na ahadi zake alizokua anatupa miaka mitatu yote ziko wapi??? inatuuma kwakua alikua anatulisha matango pori
 
wangekaa chini wakayamaliza tu cz hakuna mwenye chama chake kwasasa si huyo Maalim wala Lipumba hichi chama ni mali yetu sisi wanachama wa CUF na sio mtu mmoja mmoja ................ huku ni kupelekeshwa na wanasiasa wachumia matumbo yao
Si ameshawaachia chama chenu? Akaudai uraisi ACT?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seif Sharif Hamadi asitake watu wafwate mwangwi ya sauti yake badala ya kuwaacha watu watafakari juu ya Kauli za Hamasa alizokuwa anazitoa kwa wafuasi wake.

Leo sefu na washirika wake wameacha agenda ya kuapishwa, ameacha zile slogan za tuko tahiyatu ya mwisho

Ameacha maneno kuwa: mado masaa tu lazima jambo liwe!! Lakini leo yeye na wapiga dili wenzie wanahangaikia MATUMBO yao na agenda ya Urais imeyeyuka kama Barafu

Niwaulize Wazanzibar
Kitu gani kimewasahaulisha madhila na mateso mliyoyapata hadi leo mnaghururika na Sefu wakati mnauawa hakuwepo na aliwakimbia akaenda kula Bata Ulaya akiwa na Jusa!!

Mmebaki mayatima, Wajane, Vilema, wengine mmefilisiwa Mali zenu kwa sababu ya CUF

Sefu huyu huyu ndiye kawaachisha Wawakilishi na Madiwani kudai HAKI YAO mahakamani leo anawabwaga!!

Hapa kwa mwenye akili zilizosawasawa lazima atafakari

Wazanzibar Mnapoteza Historia yenu katika Siasa

Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla ukizungumza chama cha Ukombozi chenye kumjali na kumpigania Mtanzania hakuna chama kingine tofauti na CUF

Chama kilichosimamia HAKI na kudai Demokrasia katika nchi ya Tanzania hakuna kingine ila ni CUF

Watanzania waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Kudai UHURU wa Mawazo, Kujieleza, wanatoka chama cha CUF

Watanzania waliopoteza damu zao kwa kudai
1. Daftari la kudumu la Wapiga Kura
2. Uhuru wa Kufanya Mikutano
3. Tume Huru ya Uchaguzi

Ni CUF pekee na hamna chama kingine chochote kilichowaunga mkono CUF wakati wa Madai haya

Leo Wazanzibar mnapoteza Historia kwa kumfwata mtu anayejali tumbo lake kuliko Maslahi ya Ummah

Amewaachisha Wawakilishi kudai HAKI ZAO mahakamani kwa sababu ya Maslahi yake

Tunaposhusha Tanga kabla ya Kupandisha Tumuulize Sefu lini ataapishwa kuwa Rais wa Zanzibar??
Ataapishwa je huku madaraka mmeyang'ang'ania kwa battalion nzima ya vyombo vya dola. Unamlaumu Seif kwa kuporwa ushindi wa wazi na Jecha ?!.

Umezungumzia watu waliouliwa ,waliuawa na nani kwa sababu ipi ?! Waliofirisiwa, walifirisiwa na nani na kwa sababu ipi ?!

CCM na walio madarakani kwa ujumla hawapendi siasa za kistaarabu hata kidogo!!!. Unashindwa , hutaki kuacha madaraka halafu unamlaumu aliyedhulumiwa ?! Akili za panzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ccm mnahaha na kutapa tapa.kila.mnapo gusa breki hazikamati.Bakini na CUF inayokufa sasa. Weledi wote ACT.
"You can fool some people for some time but you can not fool all the people all the time"
Robert Nester Malley
shrf.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine. Siasa ni baashara kama biashara nyingine ukiona upande huu hakuna faida unahamia kule. Waliokufa na kuteswa ni kwa sababu ya upumbavu wao. Kwani wao walishawahi kumuona mtoto wa Seif au Mbowe kaandamana. Tatizo hawa jamaana wanaomfuata Seif wanajua siasa ni dini wakifa watakuwa wamekufa katika jihad kumbe umbumbu ndo unaowasumbua si lingine. ITATUCHUKUA MUDA SANA WATANZANIA KUFIKA TUNAPOKWENDA
Kwa sababu ya watu kama wewe , msiotaka serikali ipingwe au uata ishindwe uchaguzi. JAMBO LA KIKATIBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom