Tunaposema Tulia Ackson Mwansasu hafai sio tu kuwa Spika wa Bunge bali hata Daktari wa Philosophia kwenye Sheria tueleweni jamani.

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha za walipakodi masikini wa Tanzania kwa kisingizio cha kijinga na kipumbavu eti kwa sababu walikata rufaa juu ya maamuzi ya Chama chao.

Msimamo ule uliotolewa na Tulia Ackson Mwansasu sio kinyume tu na Katiba bali umethibitisha kuwa hastahili kuchukuliwa kama mtu mwenye PhD ya Sheria maana anapotosha kwa makusudi masuala ya kisheria jambo linalodhalilisha tasnia na taaluma ya Uanasheria.

Someni hapa maneno aliyowahi kutamka Jaji Mkuu wa Kenya mwaka 2022 kuhusu mtu anapokata rufaa na status ya suala lake kisheria anapokuwa amekata rufaa. Ukisoma utagundua tu kuwa Tanzania sio masikini kwa bahati mbaya ila umaskini wetu unatokana na kuwa na Viongozi wapuuzi wanaofinyanga Katiba na kujifanyia wanavyopenda bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote na yeyote yule.

20250516_153520.jpg

Nazidi kusikitika sana kwa Tanzania kuwa na Jeshi la Wananchi lisilojitambua ambalo limeapa kuilinda Katiba huku likiacha viongozi wapuuzi wa CCM na Serikali yao wakiisigina Katiba hiyo na kuichezea wapendavyo bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote huku wao wakiwa wanakodoa macho tu.
 
Watu jeuri watakutana tu na dawa

View attachment 3336149

Nazidi kusikitika sana kwa Tanzania kuwa na Jeshi la Wananchi lisilojitambua ambalo limeapa kuilinda Katiba huku likiacha viongozi wapuuzi wa CCM na Serikali yao wakiisigina Katiba hiyo na kuichezea wapendavyo bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote huku wao wakiwa wanakodoa macho tu.
Ukishachaguliwa....,aah,samahani ukishateuliwa na wahafidhina wa ccm kuwa spika wa bunge letu la kupiga mihuri makaratasi ya serikali....na kisha kuthibishwa kiana na bunge lenyewe kwa kupigiwa kura za maigizo ...,unatakiwa kutupa academic credentials zako pembeni na ubongo wako hutakiwi kuutumia kufikiri katika suala lolote.
Ndiyo maana umemsikia spika Tulia akisema..tena kirahisi tu..kwamba Mdude Ntagali ame stow-away
 
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha za walipakodi masikini wa Tanzania kwa kisingizio cha kijinga na kipumbavu eti kwa sababu walikata rufaa juu ya maamuzi ya Chama chao.

Msimamo ule uliotolewa na Tulia Ackson Mwansasu sio kinyume tu na Katiba bali umethibitisha kuwa hastahili kuchukuliwa kama mtu mwenye PhD ya Sheria maana anapotosha kwa makusudi masuala ya kisheria jambo linalodhalilisha tasnia na taaluma ya Uanasheria.

Someni hapa maneno aliyowahi kutamka Jaji Mkuu wa Kenya mwaka 2022 kuhusu mtu anapokata rufaa na status ya suala lake kisheria anapokuwa amekata rufaa. Ukisoma utagundua tu kuwa Tanzania sio masikini kwa bahati mbaya ila umaskini wetu unatokana na kuwa na Viongozi wapuuzi wanaofinyanga Katiba na kujifanyia wanavyopenda bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote na yeyote yule.

View attachment 3336149

Nazidi kusikitika sana kwa Tanzania kuwa na Jeshi la Wananchi lisilojitambua ambalo limeapa kuilinda Katiba huku likiacha viongozi wapuuzi wa CCM na Serikali yao wakiisigina Katiba hiyo na kuichezea wapendavyo bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote huku wao wakiwa wanakodoa macho tu.
Ww umejua leo
 
Unahisi maoni yako yanaondoa PhD ya Dk. Tulia?
 
Tulia sio kaputi tu kwa hiyo Phd yake ila ana kila dalili ni fisadi na hana uzalendo kwa taifa hili.
Nina sababu mbili za kuthibitisha.
1. Kwanza ni jinsi alikua mbia mkuu kwenye hila ile ya kuingiza nchi mkataba mbovu kuwapa Dubai kuendesha bandari zetu zote kwa mashari yalitajwa na kigogo mmoja mzalendo kwamba hayafai hata kulumangia ugali. Masharti yenye kukabidhi bandari zote za Tanzania kuanzia bahari, maziwa, hadi mito kwa Dubai ambayo wala haina hadhi ya nchi huru i.e sovereignty ili waendeshe na kusimamia wao kama mali yao. Kwa nini tulia anahusika ni kwa kufanya hila ili wabunge wapitishe mkataba huo wa taifa kujikanga kwa uroho na ubinafsi wa vigogo wake.
2. Pili japo sio mwanasheria nina hakika maamuzi ya chama cha siasa kuhusu uanachama wa mwanachama wao lazima kuheshimiwa. Kama kweli Tulia ni mwenye weledi wa Phd angehakikisha wabunge wenye mgogoro wa kufukuzwa chama wanasimamishwa ubunge kisha ndio waendelee na taratibu za kukata rufaa. Sio kuruhusu hali ambapo watu wanaendelea na ubunge huku chama chao kimewafukuza uanachama. Taifa limeingia hasara kiasi gani kuwapa mishahara na marupurupu watu ambao hawawakilishi chama chochote bungeni. Maana huwezi kua mwakilishi wa chama fulani bungeni bila ridhaa yao.
Kuna zaidi ila haya yanatosha kuonesha ubinafsi na kukosa uzalendo kwa hali ya juu ya speaker Tulia Ackson.
 
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha za walipakodi masikini wa Tanzania kwa kisingizio cha kijinga na kipumbavu eti kwa sababu walikata rufaa juu ya maamuzi ya Chama chao.

Msimamo ule uliotolewa na Tulia Ackson Mwansasu sio kinyume tu na Katiba bali umethibitisha kuwa hastahili kuchukuliwa kama mtu mwenye PhD ya Sheria maana anapotosha kwa makusudi masuala ya kisheria jambo linalodhalilisha tasnia na taaluma ya Uanasheria.

Someni hapa maneno aliyowahi kutamka Jaji Mkuu wa Kenya mwaka 2022 kuhusu mtu anapokata rufaa na status ya suala lake kisheria anapokuwa amekata rufaa. Ukisoma utagundua tu kuwa Tanzania sio masikini kwa bahati mbaya ila umaskini wetu unatokana na kuwa na Viongozi wapuuzi wanaofinyanga Katiba na kujifanyia wanavyopenda bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote na yeyote yule.

View attachment 3336149

Nazidi kusikitika sana kwa Tanzania kuwa na Jeshi la Wananchi lisilojitambua ambalo limeapa kuilinda Katiba huku likiacha viongozi wapuuzi wa CCM na Serikali yao wakiisigina Katiba hiyo na kuichezea wapendavyo bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote huku wao wakiwa wanakodoa macho tu.
Sasa msukule km wewe unawezaje kumzungumzia international figure? Tulia si level yako we bwege
 
W
Tulia sio kaputi tu kwa hiyo Phd yake ila ana kila dalili ni fisadi na hana uzalendo kwa taifa hili.
Nima sababu mbili za kuthibitisha.
1. Kwanza ni ni jinsi alikua mbia kwenye hila ya kuingia mkataba wa kuwapa Dubai kuendesha bandari zetu zote kwa mashari yalitajwa na kigogo mmoja mzalendo kwamba hayafai hata kulumangia ugali. Masharti yenye kukabidhi bandari zote za Tanzania kuanzia bahari, maziwa, hadi mito kwa Dubai ambayo wala haina hadhi ya taifa i.e sovereign state ili waendeshe na kusimamia wao kama mali yao. Kwa nini tulia anahusika kwa kufanya hila ili wabunge wapitishe mkataba huo wa taifa kujikanga kwa uroho na ubinafsi wa vigogo wake.
2. Pili japo sio mwanasheria nina hakika maamuzi ya chama cha siada kuhusu uanachama wa mwanachama wao lazima kuheshimiwa. Kama kweli Tulia ni mwenye weledi wa Phd angehakikisha wabunge wenye mgogoro wa kufukuzwa chama wanasimamishwa ubunge kisha ndio waendelee na taratibu za kukata rufaa. Sio kuruhusu hali ambapo watu wanaendelea na ubunge huku chama chao kimewafukuza uanachama.
Kuna zaidi ila haya yanatosha kuonesha ubinafsi na kukosa uzalendo kwa hali ya juu ya speaker Tulia Ackson.
We hasidi wivu wa kike utakuua
 
Wiki chache zilizopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson akihojiwa na television ya Wasafi alitetea kitendo chake cha kuvunja Katiba kwa kuruhusu Wabunge 19 waliofukuzwa na Chadema kuendelea kuwa wabunge bila kuwa na Chama bungeni huku wakilipwa mamilioni ya fedha za walipakodi masikini wa Tanzania kwa kisingizio cha kijinga na kipumbavu eti kwa sababu walikata rufaa juu ya maamuzi ya Chama chao.

Msimamo ule uliotolewa na Tulia Ackson Mwansasu sio kinyume tu na Katiba bali umethibitisha kuwa hastahili kuchukuliwa kama mtu mwenye PhD ya Sheria maana anapotosha kwa makusudi masuala ya kisheria jambo linalodhalilisha tasnia na taaluma ya Uanasheria.

Someni hapa maneno aliyowahi kutamka Jaji Mkuu wa Kenya mwaka 2022 kuhusu mtu anapokata rufaa na status ya suala lake kisheria anapokuwa amekata rufaa. Ukisoma utagundua tu kuwa Tanzania sio masikini kwa bahati mbaya ila umaskini wetu unatokana na kuwa na Viongozi wapuuzi wanaofinyanga Katiba na kujifanyia wanavyopenda bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote na yeyote yule.

View attachment 3336149

Nazidi kusikitika sana kwa Tanzania kuwa na Jeshi la Wananchi lisilojitambua ambalo limeapa kuilinda Katiba huku likiacha viongozi wapuuzi wa CCM na Serikali yao wakiisigina Katiba hiyo na kuichezea wapendavyo bila kuwa na hofu ya kufanywa chochote huku wao wakiwa wanakodoa macho tu.
Mwaka huu usipokuwa kichaa
 
Yule mama mwanzoni nilikuwa namuona anafaa hata kuwa Rais ila kwa upumbavu alionionesha miaka ya karibuni na kiburi chake cha madaraka. Nafuta yale maneno niliyosema kwenye ulimwengu wa mwili na roho.
huyo nilishamfuta zamani sana! kanafiki, kanajivuna, kanadhalilisha taaluma ya sheria na PhD
 
Sasa msukule km wewe unawezaje kumzungumzia international figure? Tulia si level yako we bwege
Ujinga tu ungetoa hoja dhidi ya maoni yametolewa. Eti sio level yako. Hawa fisadi kazi yao kutafuta vyeo vya kimataifa kutafuta kipato zaidi na umashuhuri wa bure tu. Ni watu wabinafsi tu. Vyeo vyenyewe wanatembeza hongo ili kupata.
 
Nilikuwa namtetea sana, lakini ni wazi kuwa dishi limeyumba. Hauwezi kuongea vile msibani ukiwa timamu.
 
Back
Top Bottom