Well saidNa tunapoengelea maendeleo ya watu, lazima iwahusishe watu wa madaraja ya chini moja kwa moja.
Sasa mtu ana nunua ndege anakwambia watu wa chini ambao hawafikirii hata kupanda hiyo ndege watakuja kunufaika pale faida itakapopatikana ndio iende ikajenge hospitali, je isipopatikana?
marekani wote wana uwezo wa kupanda ndege ? ufaransa kwa huyo bibi wote wana uwezo wa kupanda ndege?Na tunapoengelea maendeleo ya watu, lazima iwahusishe watu wa madaraja ya chini moja kwa moja.
Sasa mtu ana nunua ndege anakwambia watu wa chini ambao hawafikirii hata kupanda hiyo ndege watakuja kunufaika pale faida itakapopatikana ndio iende ikajenge hospitali, je isipopatikana?
kwa hiyo serikali inunue ndege pale kina mtu akapokuwa ana uwezo wa kupanda?Na tunapoengelea maendeleo ya watu, lazima iwahusishe watu wa madaraja ya chini moja kwa moja.
Sasa mtu ana nunua ndege anakwambia watu wa chini ambao hawafikirii hata kupanda hiyo ndege watakuja kunufaika pale faida itakapopatikana ndio iende ikajenge hospitali, je isipopatikana?
unataka kumaanisha nini, ? embu eleza hizo pumba unazotaka kueleza, manake naona hujielewi.marekani wote wana uwezo wa kupanda ndege ? ufaransa kwa huyo bibi wote wana uwezo wa kupanda ndege?
Serikali hususani hizi nchi zetu maskini ingetakiwa ifanye vitu vya msingi kwa ajili ya manufaa ya watanzania wengi wa hali ya chini.kwa hiyo serikali inunue ndege pale kina mtu akapokuwa ana uwezo wa kupanda?
Mkuu, umesema hujaelewa ueleweshwe halafu ukasema tunalishwa yasiyolika. Kweli unataka kueleweshwa au umeelewa ila unataka tu mjadala? Anyway, ntaenda na statement yako ya kwanza.Hiyo kauli ya maendeleo ya vitu sijaielewa mpaka leo inamaanisha nini labda mnisaidie. kikawiada vitu vinavyojengwa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao kama ni barabara, reli, nadaraja yote yanajengwa kwa ajili ya watu, hiyo kauli ya maendeleo ya vitu ina mashiko gani?
Maendeleo ya vitu daima hupelekea maendeleo ya watu ila leo watanzania tunalishwa yasiyolika na tunameza bila kutafuna. ni wapi marekani utakuta hakuna lami, reli au viwanja vya ndege? serikali yao ilijenga miundombinu hiyo ili kuwanufaisha watu, kwa nini sio kwetu tz?
Miradi ipi ambayo serikali imeanzisha haiwanufaishi watu? mradi wa SGR umetoa ajira nyingi kwa watanzania, barabara zimerahisha usafirishaji, n.k hiyo yote ni kuonesha miundombinu lazima ilete maendelo ya watu. unachopinga ni nini? Taja walau mradi mmoja ambao watu hawanufaiki au hawatonufaika ukikamilika?
Kwahiyo ukisha nunua ndege na kujenga barabara, nini kitabebwa sasa maana viwanda migodi hakunaHiyo kauli ya maendeleo ya vitu sijaielewa mpaka leo inamaanisha nini labda mnisaidie. kikawiada vitu vinavyojengwa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao kama ni barabara, reli, nadaraja yote yanajengwa kwa ajili ya watu, hiyo kauli ya maendeleo ya vitu ina mashiko gani?
Maendeleo ya vitu daima hupelekea maendeleo ya watu ila leo watanzania tunalishwa yasiyolika na tunameza bila kutafuna. ni wapi marekani utakuta hakuna lami, reli au viwanja vya ndege? serikali yao ilijenga miundombinu hiyo ili kuwanufaisha watu, kwa nini sio kwetu tz?
Miradi ipi ambayo serikali imeanzisha haiwanufaishi watu? mradi wa SGR umetoa ajira nyingi kwa watanzania, barabara zimerahisha usafirishaji, n.k hiyo yote ni kuonesha miundombinu lazima ilete maendelo ya watu. unachopinga ni nini? Taja walau mradi mmoja ambao watu hawanufaiki au hawatonufaika ukikamilika?
huoni umeandika takataka ambazo zinakutapisha mwenyewe, ajabu kwelikweli kwenye jamii na wewe unaitwa msomi. Tanzania ni nchi yenye vivutio vingi vya utalii , kwa watalii wa ndani na watalii wa nje na moja ya njia za kukuza na kuimarisha utalii ni kuendeleza miundombinu hususani viwanja vya ndege na kuboresha huduma za ndege. leo taifa linanufaika na utalii kwa sababu ya serikali kuwa na ndege za kuhudumia watalii.unataka kumaanisha nini, ? embu eleza hizo pumba unazotaka kueleza, manake naona hujielewi.
kwa hiyo serikali inunue ndege pale kina mtu akapokuwa ana uwezo wa kupanda?
Ndege!we unafikiri watu wa Hali ya chini ambao ni % kubwa wapo watapanda?Hiyo kauli ya maendeleo ya vitu sijaielewa mpaka leo inamaanisha nini labda mnisaidie. kikawiada vitu vinavyojengwa ni kwa ajili ya watu na maendeleo yao kama ni barabara, reli, nadaraja yote yanajengwa kwa ajili ya watu, hiyo kauli ya maendeleo ya vitu ina mashiko gani?
Maendeleo ya vitu daima hupelekea maendeleo ya watu ila leo watanzania tunalishwa yasiyolika na tunameza bila kutafuna. ni wapi marekani utakuta hakuna lami, reli au viwanja vya ndege? serikali yao ilijenga miundombinu hiyo ili kuwanufaisha watu, kwa nini sio kwetu tz?
Miradi ipi ambayo serikali imeanzisha haiwanufaishi watu? mradi wa SGR umetoa ajira nyingi kwa watanzania, barabara zimerahisha usafirishaji, n.k hiyo yote ni kuonesha miundombinu lazima ilete maendelo ya watu. unachopinga ni nini? Taja walau mradi mmoja ambao watu hawanufaiki au hawatonufaika ukikamilika?
serikali kwa sasa haina ndege ya mizigo hivyo ndege zinazonunuliwa si za kusafirisha mizigo ila watu. ujenzi wa barabara unachochea ujenzi wa uchumi wa watu wa tabaka la chini kabisa ambao wengi wao ni wakulima na wafanyakazi. mkulima anahitaji barabara , reli n.k kusafirisha mazao yake sokoni? Pia kumbuka kuwa sekta binafsi haiwezi kujenga miundombinu hivyo serikali inatakiwa ifanye hivyo ila maji, afya, elimu zinaweza kutolewa na sekta binafsi na serikali kuingia nao ubia wa cost-sharingKwahiyo ukisha nunua ndege na kujenga barabara, nini kitabebwa sasa maana viwanda migodi hakuna