Tunapoelekea siyo pazuri

Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.
Nimegundua sio hujui tu unachoandika. ila hutak kujifunza jambo.baki na ujinga wako magu ndo anawapenda sana nyinyi
 
Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Acha roho mbaya hali ni ngumu na inaonekana kwa macho
 

nchi ya kwanza duniani idara zote ndani ya serekali kuu utazani zipo sokoni
 
Hahahaaa ndio uchumi una kuwa.. Watu wanna fanya mazoezi kuongoza nchi Kama nyumba zao ndogo.. Kuna shida kubwa... Walianza na sukari ikawashinda, ukuta mererani, ikawashinda, makinikia, wameangukia pua, korosho jibu mnalo... Nchi haiedeshwi Kama guest house.
Natamani kuwa mbunge WA Arumeru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…