Badala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.Leo nimefika kwenye kituo cha mafuta kuweka mafuta gari langu duuh sikuamini macho yangu. Lita moja ya dizeli nimekuta ni Tshs.2586. Pili nimeenda Benki kuulizia bei ya dollar ya Kimarekani duuh nikakuta dollar moja ni 2350. Nikajiuliza kweli hii ni Tanzania au nimekosea. Kwa kweli tunapoenda siyo pazuri. Serikali chukueni hatua za haraka. Nadhani kuna tatizo mahala fulani. Kweli hii ndiyo Tanzania.
....Tulikubali kua tutasoma namba, sasa tunazisoma tatizo lini wapi?
Ni ujinga na uvivu waoShukuru mungu una hela tena dolar kabisa kuna wenzio hata hiyo rangi ya dolar hawajui ina fananaje
Umeandikia chooni wewe ukiwa unaharishaBadala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
NenoBadala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Kwa kweli maana wanaoona wanaumia kwa bei ya mafuta kwenye magari yao wanayaacha nyumbaniNi ujinga na uvivu wao
Maana mleta mada kataja namba sana katika uzi wake, kitu ambacho tunasomeshwa wote.....
....neno
Hajakwambia hana uwezo. Otherwise angepaki gari... anachoshangaa ni kupanda kwa gharama na dolar.. means sio dalili nzur kiuchumi. So serikal ifanye jamboBadala ya wewe kuongeza juhudi za kufanya kazi unasema serikali ichukue hatua! Tangu lini serikali ikakuwekea mafuta kwenye gari lako. Huna uwezo basi li pack utumie dala dala.
Hujakosea. Lakini umeelewa?Umeandikia chooni wewe ukiwa unaharisha
Unajua mwaka 2010 dola ilikuwa kiasi gani kwa shilingi? Fluctuation ya dola hutegemea mambo mengi na siyo uamuzi wa serikali kuwa ipande au ishuke. Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii.Hajakwambia hana uwezo. Otherwise angepaki gari... anachoshangaa ni kupanda kwa gharama na dolar.. means sio dalili nzur kiuchumi. So serikal ifanye jambo
Kutokuijua dollar sio kwamba haya mdhara ya kiuchumi hayakuhusu. Wewe ndio mwathirika namba moja maana wewe ndio mtanzania wa kawaida ambae madhara haya yataanzia kwakoShukuru mungu una hela tena dolar kabisa kuna wenzio hata hiyo rangi ya dolar hawajui ina fananaje
Pole sana mimi huko hata siadhiriki pole yako wewe ambae ndie unaelalamikaKutokuijua dollar sio kwamba haya mdhara ya kiuchumi hayakuhusu. Wewe ndio mwathirika namba moja maana wewe ndio mtanzania wa kawaida ambae madhara haya yataanzia kwako
Tafuta elimu mkuu