Tunapoanza Mwaka wa Uchaguzi 2020; Tuanze na Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama Kufungua Njia.

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,804
71,231
Mapambano mazuri ya siasa ni kwa hoja na sio risasi na vitimbi.

Tunaingia mwaka mgumu sana katika mustakabali wa nchi juu ya ulinzi wa demokrasia na amani kupitia Uchaguzi mkuu wa 2020.

Ili kujua mwenendo wa safari hiyo ni vyema watendaji wakuu wa vyama hasa kile tawala na chama kikuu cha upinzani wakaandaliwa mgahalo kupitia waandaaji makini ili tuweze kupima mwenendo mzima katika ukweli na uwazi.

Chama chochote kikisha sajiliwa ni mali ya wananchi hivyo ni jambo jema kiwe wazi kwa wananchi na hatutegemei kuna kitakacho kataa wito wa mdahalo huo.

Jee nani mahiri katika siasa za Ukweli za Tanzania? Ni Dr Bashiru Kakulu wa CCM au John Mnyika wa Chadema?

Hiyo mechi ni ya kudhaminiwa na Sportpesa kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio zama hizi
Tusubiri ila PhD inaweza kusubiri cheti kipite kwanza
Ikumbukwe talent(akili) sio degree nne(elimu)
 
NAMUONA Dr Bashiru keshapigwa bao 5 kwa 0 na jembe John Mnyika yaani hii ni mapema tuu hata kabla ya muda wa mapumziko
 
Hawawezi kukubali, na hata wakikubali utaishia kuona siasa za hoja toka kwa Mnyika, na siasa za kujimwambafy toka kwa Bashiru.
Nchi za wenzetu viongozi wanapimwa Mara nyingi kwa mdahalo. Na huwa ni lazima kuhudhuria. Hapa tutwange mdahalo wa makatibu wakuu, kisha Sept au octoba tunashusha ule wa nguvu wa wagombea Urais.
Najaribu kupata picha Magufuli akiwa kwenye mdahalo huru na watu kama Lissu au Zitto.
Nafikiri utakuwa mtamu sana maana Rais Magufuli anamengi atakayo jivunia. Mfano kanunia ndege hata kama madarasa hakuna, Reli SGR ingawa ya kawaida imetushinda, Daraja la Tazara na Coco beach lakini Morogoro road panafungwa shauri ya Jangwani nk nk.

Kusubiri Magufuli aingie kwenye mdahalo ni kama kusubiria meli airport. Maisha yako hutakaa umuone kwenye mdahalo wa aina yoyote ile.
 
Nchi za wenzetu viongozi wanapimwa Mara nyingi kwa mdahalo. Na huwa ni lazima kuhudhuria. Hapa tutwange mdahalo wa makatibu wakuu, kisha Sept au octoba tunashusha ule wa nguvu wa wagombea Urais.
Najaribu kupata picha Magufuli akiwa kwenye mdahalo huru na watu kama Lissu au Zitto.
Nafikiri utakuwa mtamu sana maana Rais Magufuli anamengi atakayo jivunia. Mfano kanunia ndege hata kama madarasa hakuna, Reli SGR ingawa ya kawaida imetushinda, Daraja la Tazara na Coco beach lakini Morogoro road panafungwa shauri ya Jangwani nk nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo mdahalo ccm watakimbia, labda waitwe polis kusaidia kwa kupiga mabomu kusambaratisha mdahalo huo
 
Back
Top Bottom