Taifa langu nakupenda nawapenda viongozi wangu na watanzania. ila ningependa mjuwe tunapita wakati mgumu kama taifa. kiukweli hakuna wakumlaumu as long as haya ni matunda ya zaid ya miaka 50 tangu kuwepo taifa hili. mimi nawaomba ndugu zangu tusali na kumuombea rais wa jamuhuri ya watu wa Tanzania. uwenda mimi na wewe hatujuwi nini kitaenda kutokea siku chache zijazo ila nataka niwaambie embu tushushe pumzi na miamko ili tuweze kufikia Tanzania tunaitaka. kosoa serikali ila epuka kutumika kuichafuwa serikali hasa kama mwana chama wa ccm. Unajuwa ardhi nabahari vinasiri kubwa embu tutafakari sana kwenye maneno yetu kuepuka hai ya sinto faham siku za mbeleni nataka kuwakumbusha story ya wana wa Israel walipo mlalamikia sna Mungu. Mungu akasema nimewavusha hawa kwenye mambo mazito na yakutisha kuliko haya nimewavusha bahari ya sham na kuwaangamiza majesh yote ya wa misri bado hawaniamini kwa vitu vidogo. basi hakika Yangu hawatoion Kanani.
watanzania nataka kuwaambiaa jambo moja usisikie kelele za hisia kali bungeni ukafikiri watu wana uchungu sana na taifa lao, hawa ni kile kikundi kidogo wanatumika kuwavunja moyo wa Tanzania na kuwatisha ili tukate tamaa na kuona safari yetu 2020 kwenye taifa lenye maendeleo hatuiki. wengine wanacheza mchezo mchafu waje kuwa wagombea urais hili ni hatari zaid wngine wana ten % za makampuni makubwa kiukweli mtakuja nijuza baadae hili bunge 2020 watakatwa wengi kwakweli kama hawajisoma hii picha basi napenda kuwakumbusha nyakati ngumu kuliko hizi zinakuja Mh Nnape keep cool mzee utapotea usijipe moyo jamaa watakukumbuka hili buludoza halina masihara na usali sana maana wakikupata pakukufanya Malema ndio kwaheri, kumbuka Tz hakuna upinzani sasa poteza muda kutisha watu wsio tishiwa hata nyau wakatishika.
Jamani kama hatuna kazi ni bora tutafute kazi hapa kazi imeamuliwa. Hii ni reforming ndugu zanguni afande akisema ananyoosha mstari kwa risasi na wewe unakitambi ndugu yangu tumbo litapasuliwana risasi.
Jamani tufanye kazi jamani tufanye kazi nawashauri tu. Mungu yupo