Ndio tatizo la pombe... mwanzoni tulikuwa tunakunywa na kufurahi, sasa hapa wengine wamezima, wengine Sana'a gums tu, yaani kiufupi tunashuhudia vituko tu. Hii Gongo hatari sana, wengine imekimbilia machoni hatuoni vizuri kama zamani, Dah!! aliyetuuzia hii Gongo sijui katuroga hapa kilabuni kuna kajamaa kananunua walevi waliokuwa chakari sijui kanataka nini mana watu wamezima hawajielewi, anyway tuombe kukuche salama, wengine mning'iniko ziada ukiisha, basi na pombe itakuwa basi. Angalizo kuna uharibifu mkubwa hapa kilabuni na uhakika kesho tutarukana wakati tulikunywa na kukesha pamoja...." Ehh mhudumu ongeza glass" kazi na dawa....