Pombe hii ni chungu kweli kweliHii pombe haipendi wanao 'dilute' kwa ndimu ndani ya chungu..
Na wale ambao wako nje wakijitahidi kuwakataza walevi kwa kuwapa juice ..basi pombe hii inageuka sumu na kuua wakatazaji pamoja na wanywaji kwa kutumia nguvu ya alcohol na Amira.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajua ukishazoea kunywa wine kwenye muziki mororo inakuwa ngumu sana kuhimili gongo. Kwa sisi tulioishi maisha ya unywaji gongo miaka yote hatupati shida kabsaa kwenye hii pombe ya tano. Sana sana tunafurai kwelikweli kuona wale ambao waliokuwa wanakunywa wine kiujanja ujanja wakilalamika huku wapo nasi gongoni.
Tabu halisi hamjapata, iko njia kuja