Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Familia zilizopoteza wapendwa wao kwenye ajali ya gari la shule ya Luck Vincent huko Arusha zimepatiwa kila moja kiasi cha shilingi Milioni 3.6,pesa nyingine zilizotolewa zimetumika kugharamia gharama nyingine!
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Arusha,jumla ya shilingi milioni 190 zimetumika kwenye gharama zote !
Kimahesabu jumla ya shilingi Milioni 129,600,000 ndizo walizopewa wafiwa kama Rambirambi baada ya matumizi mengine!.
Kiasi cha shilingi milioni 60,400,000 ndizo zilizotumika kwa matumizi mengineyo nje ya pesa ya pole kwa wafiwa wote!.
@@@@@@@@@@@@@@@
Pongezi kwa wote waliofanikisha shughuli za kuwapumzisha wapendwa wetu katika nyumba zao za milele!.
By Dotto Bulembo
Swali: serikali ilichangia shilingi ngapi?